Dogo anasumbua sana instagram kwa nyodo nyingi sana kwamba yeye hakuna wa kumfikia bongo kwa jeuri ya hela. kwa anayemjua vizuri huyu billionea atujulishe na sisi ili tu jifunze kutoka kwake jinsi ya kupata pesa.
haa
Limbukeni tu ----- huyo anadhani kuna mtu analala njaa bongo hii? Masogange mwenyewe ashapiga picha na minoti michafu kama hio sanasana pale Photoshop unaweza fanya huo utoto