King Rover: Billionea kijana mwenye madharau Dar es Salaam anayekimbiza Bongo nzima

King Rover: Billionea kijana mwenye madharau Dar es Salaam anayekimbiza Bongo nzima

instagram

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,118
Reaction score
4,863
IMG_1103.PNG IMG_1101.PNG Dogo anasumbua sana instagram kwa nyodo nyingi sana kwamba yeye hakuna wa kumfikia bongo kwa jeuri ya hela. kwa anayemjua vizuri huyu billionea atujulishe na sisi ili tu jifunze kutoka kwake jinsi ya kupata pesa.
IMG_1105.PNGIMG_1104.PNG
haa
IMG_1102.PNG
 

Attachments

  • IMG_1098.PNG
    IMG_1098.PNG
    165.7 KB · Views: 6,295
  • IMG_1109.PNG
    IMG_1109.PNG
    172.4 KB · Views: 10,641
Hicho kifua sijakielewaaa...ana manyonyooo
 
Back
Top Bottom