King Tutankhamun; Roho ya Farao (Mummy) iliyowamaliza watu kwa laana yake kali.

..asante sana mkuu-umenifungua macho
...nimekuwa najiuliza siku nyingi hivi aliyepa thamani haya mawe ni nani na why..?...kidogo umenifungua macho
 
Shkamoo,hongera sana mkuu,hivi huna group la whatsap uni add huko??0713522447
 
Pamoja mkuu.
Kama ungekuwa na soft ya The book of the Dead ungekitupia hapa ingekuwa poa sana, mana nimeona kikitajwa na historians wengi ila sijawahi kiona.
 
Mkuu, big up sana andiko limeshiba.. Ila kabla sijachangia, kuna kitu huwa kinanikera sana, ni kuhusu hawa watu weupe ,sijui why wnapenda ku twist the truth. Tizama hiyo picha ya Kushoto ya King tut iliotengenezwa kwa kompyuta na kisha tizama ya hayo mabaki yake picha cha kushoto, utabaini hawa mafarao walikuwa ni watu weusi, na sio weupe, au waarabu kama wanavyotaka kutuaminisha.
 
Muhammad alipenda wadanganya watu kwa mambo asiyoyaelewa Sasa story ya firauni inajulikana Sana sema yeye akazusha mambo yake ili kutisha watu
 
Muhammad alipenda wadanganya watu kwa mambo asiyoyaelewa Sasa story ya firauni inajulikana Sana sema
 
halafu ",wanatokea ",watu wanalopoka", na kusema " africa hatukuwa na maendeleo", kila kitu tumeletewA"" HEBU tazama Kwanza " jinsi " hayo majeneza yalivyoundwa",.. tena hicho nikipndi ambacho hata Yesu " hajulikani kama atakuja mtu Kama yeye" lakini watu walikuwa wamebobea kwenye " Technology " na wakaunda " majeneza kwamtindo"",Aiseee MUNGU IBARIKI AFRICA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…