SALUTE mkuu
Humble African
Kama kawaida hujawahi niangusha mkiu, umeniongezea maarifa though niliwahi kusoma sehem kuhusu huyo mtu na kuangalia baadhi ya muvi kama
The Mummy 1-3 & X- Men Apocalypse nashukuru kwa maarifa.
Napenda kuongezea hapo kwenye swali la mkuu
Sugamadex kuhusu jinsi binaadamu tulivyoyapa thamani Mawe (Gold,Diamond,Copper,Nk)
Inasemekana kua (Kwa mujibu wa kitabu cha Enoch) Baada ya wale malaika waasi 200 kushuka duniani ndipo walipotufanza thamani ya haya mawe na aliyetufunza thamani ya mawe hayo ni kiongozi wa wale malaika waasi.. Anafahamika kama Azazel. Ikumbukwe pia malaika hao ndio wametufunza taaaluma nyingi nyingi ksma vile uchawi,uganga,Unajimu;Ramli,Kamali,Kutengeneza siraha n.k n.k
Soma zaidi hapa, nimenukuu kutoka The book of Enoch.
"...And Azâzêl taught men to make swords, and knives, and shields, and breastplates,
and made known to them the metals of the earth and the art of working them, and bracelets, and ornaments, and the use of antimony, and the beautifying of the eyelids, and all kinds of costly stones"
Cc.
lifecoded Wick MzeeMeko Iyegu mmangO