King Tutankhamun; Roho ya Farao (Mummy) iliyowamaliza watu kwa laana yake kali.

King Tutankhamun; Roho ya Farao (Mummy) iliyowamaliza watu kwa laana yake kali.

Kitabu chake hiki hapa nimekipata mbali sana karibuni wadau tusome.
Aisee, "All of the facial features were painted in black and lips were reddened", halafu tena "His skin was darkened and his nose was flattened by the bandages".
Yaani wote huo ni ubishi tu kujaribu kuonesha kuwa labda rangi nyeusi waliyojichorea ilikuwa bahati mbaya maybe, na hizo bandages zikaenda kuchagua mifupa ya pua tu kuiflatisha, pembeni wakaweka handsome boy wa kizungu in real life ya Tut.
 
Dah...noma sana....Hiko kinyago cha kwanza naamini Tyga alichukua na kuiweka kwenye clothing line yake ya The LastKing...Au alikuwa anamaanisha haya..!?
 
humbe African

Nalendwa hapo kwa king tut kama snowhite akimuoa farao mdogo maana yake wataunganishwa naye katika dunia nyingine kupitia mummification na kuuwawa kama ilivyoelezwa kwenye maandiko matakatifu

Ukiwa mke wa farao alafu farao akafa kabla yako basi jua hutabaki mjane maana watakuua, watapasua kifua chako kisha watatoa organi zako kisha wataziweka kwenye canupagus(sina uhakika na spellin) alafu wataku-mummified.

Wakati wa ndoa ni kiapo cha damu wanakutoa damu kwa jambia yaani ...
 
aiseee "", nilipitia ", maandiko ya huyo nguli " alikuwa na balaa kubwa Sana
ni uzushi sijui,inakisiwa kabla ya kuchakachuliwa kwa historia ndie anapaswa kuwa [MFALME SULEIMAN]mansa kan kan mussa
 
humbe African

Nalendwa hapo kwa king tut kama snowhite akimuoa farao mdogo maana yake wataunganishwa naye katika dunia nyingine kupitia mummification na kuuwawa kama ilivyoelezwa kwenye maandiko matakatifu

Ukiwa mke wa farao alafu farao akafa kabla yako basi jua hutabaki mjane maana watakuua, watapasua kifua chako kisha watatoa organi zako kisha wataziweka kwenye canupagus(sina uhakika na spellin) alafu wataku-mummified.

Wakati wa ndoa ni kiapo cha damu wanakutoa damu kwa jambia yaani ...
Aleppo hii ni kweli maana King Tut alizikwa na mke wake ambae alikuwa ni Dada yake aliekuwa na mimba kubwa.

Zamani kulikuwa na vituko sana.
 
Aleppo hii ni kweli maana King Tut alizikwa na mke wake ambae alikuwa ni Dada yake aliekuwa na mimba kubwa.

Zamani kulikuwa na vituko sana.

Hahaha hawa watu walikuwa ssio wa kawaida. Ila kwenye yale makaburi yalikuwa kiboko eti kuna michoro ikifika kipindi farao mfu anafufuka(anamka) eti anaenda kwenye after life. Hii imani ya kufufuka sijui waliitoa wapi na kwenda after life
 
Walikuwa wana imani nyingi sana za kipuuzi mfano kuamini kwamba moyo ndio unaotumika kwa ajili ya kufikiri na Ku reason mambo na sio ubongo.

Ila sijui walikuwa wanaishi after life spiritually maana roho zao ziliwahadabisha sana watu wenye tamaa na wabishi but unfortunately wao waliamini miili yao itaishi eternity then roho zao ndio zikaishi eternity.
 
Siwashangai sana ila ata wa hindi wana imani zao za ajabu ajabu ndo maana hawawezi kukaa na waislamu. Wanaamini sana ukiwa mwema ukifa unakuwa bundi yaani ni pyuuu imani za ajabu ila waguse na imani yao uone moto wake

Iraq kuna mkoa unaitwa Ninev(kama sijaukosea) karib na Anbar province walichimba china ya udongo wakakuta nako kuna mji tena nikashangaa inakuaje tena chini nako mji uliofunikwa

dunia ina maajab
 
Humble

Wiki hii naskia tena wa-Misri waligundua kaburi tena la kale sana ila jeneza lake lilikuwa lizito na linatoa uvundo mpaka ikabidi jeshi liitwe. Sijajua liliishia wapi?
Yeah! Lile kaburi limezua taharuki kubwa pale Misri sababu liliaminika labda linaweza kuwa la Alexander the great but waligundua lilikuwa kaburi la wanajeshi watatu ambao walikutwa wakiwa na ballistic helmet zao..watu waliligwaya kulifungua kwa muda mrefu wakiamini lile kaburi linaweza kuwa na laana kubwa sana kama ilivyo kawaida ya makaburi ya watawala wa kale kufungwa uchawi na uganga uliojaa laana kuu.

Pia lile jeneza lilijengwa kwa material ambayo hatawezi kupitisha hewa wala chochote ndani au nje...sasa walipfungua wale binadamu walikuwa ni maji matupu na mifupa hii ikashindilia tena msumali binadamu ni maji maana licha ya kufa zamani za Kale miili yao iliaribika na kuwa Mani yenye harufu Kali kuliko chochote hadi walisimamisha shughuli ya ubomoaji wa kaburi mara 3 ili kupisha harufu ipungue kidogo.

Saga lilisha baada ya mifupa kuchukuliwa na kwenda kuhifadhiwa museum ya Cairo.
 
Back
Top Bottom