King Tutankhamun; Roho ya Farao (Mummy) iliyowamaliza watu kwa laana yake kali.

Uzuri Dunia inakiri kwamba Africa is the cradle of mankind and civilization. Hii hakuna Mzungu anaekataa.

Kuna kizazi kilijisahau na kutuangusha waafrika but akina Mansa Musa walitupaisha sana jamaa ndio alikuwa tajiri Dunia nzima alienda ulaya akawa akawa anagawa gold na msosi kwa wazungu! Alikuwa na convoy ya watu zaidi ya 5000 wanamsindikiza ulaya hao wote wanakula na kunywa kwa gharama zake. Hatari sana!
 
aiseee "", nilipitia ", maandiko ya huyo nguli " alikuwa na balaa kubwa Sana
 
dhahabu inathaminiwa kitambo mkuu kwenye maeneo yaliyokuwa na ustaarabu/civilization,ndio maana unaiona imetumika kwenye kutengeneza hizo zagazaga za mfalme,na sio chuma.
 
..asante sana mkuu-umenifungua macho
...nimekuwa najiuliza siku nyingi hivi aliyepa thamani haya mawe ni nani na why..?...kidogo umenifungua macho
Pamoja mkuu.
Kama ungekuwa na soft ya The book of the Dead ungekitupia hapa ingekuwa poa sana, mana nimeona kikitajwa na historians wengi ila sijawahi kiona.
nilikuwepo ", hapA nikijifunza" UKIPATA CHANCE ..usisite " kutuletea habari za ramisese'' Namuelewa sana huyo mtu
Ahahaha!! mbalizi1 bhana..! Mimi sio mwalimu hata wa shule ya msingi ila ningependa sana kuwa mwalimu mkuu.

Tuko pamoja sana mkuu!
SALUTE mkuu Humble African
Kama kawaida hujawahi niangusha mkiu, umeniongezea maarifa though niliwahi kusoma sehem kuhusu huyo mtu na kuangalia baadhi ya muvi kama The Mummy 1-3 & X- Men Apocalypse nashukuru kwa maarifa.
Napenda kuongezea hapo kwenye swali la mkuu Sugamadex kuhusu jinsi binaadamu tulivyoyapa thamani Mawe (Gold,Diamond,Copper,Nk)
Inasemekana kua (Kwa mujibu wa kitabu cha Enoch) Baada ya wale malaika waasi 200 kushuka duniani ndipo walipotufanza thamani ya haya mawe na aliyetufunza thamani ya mawe hayo ni kiongozi wa wale malaika waasi.. Anafahamika kama Azazel. Ikumbukwe pia malaika hao ndio wametufunza taaaluma nyingi nyingi ksma vile uchawi,uganga,Unajimu;Ramli,Kamali,Kutengeneza siraha n.k n.k
Soma zaidi hapa, nimenukuu kutoka The book of Enoch.
"...And Azâzêl taught men to make swords, and knives, and shields, and breastplates, and made known to them the metals of the earth and the art of working them, and bracelets, and ornaments, and the use of antimony, and the beautifying of the eyelids, and all kinds of costly stones"

Cc.
lifecoded Wick MzeeMeko Iyegu mmangO
 
Mkuu Da'Vinci kwanza nimefurahi kukuona hapa bahati mbaya sijakumbuka kutag mtu hata mmoja but nimefurahi umeuona Uzi.

Tuna mjadala mingi ya kujadili hapa makes sure kesho unawaleta wataalamu wenzako tuje tujadili mambo ya dhahabu na thamani yake zamani, Cleopatra, n.k
 
Am humbled Brother...
Am staying tunned mkuu kwa hiyo mijadala panapo majaliwa kesho
 
dhahabu inathaminiwa kitambo mkuu kwenye maeneo yaliyokuwa na ustaarabu/civilization,ndio maana unaiona imetumika kwenye kutengeneza hizo zagazaga za mfalme,na sio chuma.
Mkuu sijakataa hiyo ya dhahabu kuwa na thamani ninachosisitiza ni kwamba thamani yake ilikuwa ni kawaida sana Na Kwa vile hakukuwa na pesa hivyo ilitumika kama pesa tu kutokana na uwezo wake wa kutoshika kutu tofauti na aina nyingine ya madini. Pia kuvutia Kwa rangi yake nzuri, zilikuwa nyingi lakini sio sana kiasi cha kusababisha inflation kwenye uchumi wa kijima then jamii ikakubaliana zitumike kama medium of exchange kwa kununua na kupatia huduma thamani yake Haikuwa kubwa kama baada ya miaka 3400 ya kugundulika kwa zile Mali za king Tut. Hii inatosha kusema kwamba zamani dhahabu Haikuwa na thamani kubwa maana idadi kubwa iliweza kumiliki dhahabu kirahisi kwa ajili ya kununulia mahitaji yao ya kila siku. Dhahabu ilikuwa ni sawa na pesa tu ya kawaida na nyuma ya zama za King Tut Haikuwa Na thamani kihivyo kipindi cha akina king Tut ndio walikubaliana iwe na thamani na instinct value ya gold ilipanda sana baada ya Africa kuwa na link na ulaya na mashariki ya mbali.

Na Dunia inapoelekewa baada ya introduction ya digital currency kama Bitcoin basi store of value ambayo ilikuwa gold itahamia kwenye Bitcoin Na gold inaweza kuwa valueless... Hii ndio Changamoto kubwa sana kwa sasa kwa gold Duniani hivyo Ukiangalia graph yake inaelekea kurudi kwenye starting point yake ya chini kabisa ya kuwa valueless metal. Gold ilianza kwa kuwa valueless then psychology ya watu wakakubaliana iwe na thamani..ni sawa na noti ni makaratasi lakini tumekubaliana iwe hela na iwe na thamani ila kimsimgi ni makaratasi tu.

Thus Gold was once valueless.. And it will be valueless in the future.

Kuna mengi ya kumzungumza but nahisi haya yanaweza kusaidia kutoa mwanga.
 
Kitabu chake hiki hapa nimekipata mbali sana karibuni wadau tusome.
 

Attachments

Kwani mzee baba unajua tofauti ya ulaya na Africa ilianza mwaka gani ni karne ya 15-16 wenzetu walianza invest on research. Mpaka Leo we know nothing about Europeans but wao wanajua kila kitu kuhusu sisi Mpaka wanatoa degree about African studies Sasa ujiulize mtu anayekujua nje ndani utamshinda nini
 
dhahabu inathaminiwa kitambo mkuu kwenye maeneo yaliyokuwa na ustaarabu/civilization,ndio maana unaiona imetumika kwenye kutengeneza hizo zagazaga za mfalme,na sio chuma.
Mzee baba sio kweli Kuna sehemu kama Mexico Aztec dhahabu kwao ulikua ujinga mtu wakawa wanashangaa kwanini wazungu wanaangaika na dhahabu wakati hailiki wala huwezi tengenezea silaha so wazungu ndo walikua wanaithamini dhahabu mpaka wakafanya locals nao waone inathamani
 
hahaaaa Humble African msikie " huyu''
MKUU watu Weusi ", ndio chanzo cha ustaarabu duniani" hiyo ufaransa yenyew ", unayoiona "leo ' hapa kabla ilikuwa chini " ya utawala wawatu weusi" waliokuwa wanafahamika kwa jina la the moors"",
CHUO kikuu cha kwanza duniani kiliasisiwa nchini Mali", chini ya utawala wa Prince Mansa mousa", wamjua mansa mousa "wewe""' ? .. kanisa la kwanza ulimwenguni", lilianza kujengwa Ethiopia" ", nimekupa hizo reference chache tu "", waweza kwenda Google au Wikipedia ili ukaongeze maarifa zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…