2 of Amerikaz most wanted
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 1,328
- 3,718
Naona unafikisha ujumbe kulingana na ID yako.ukiona mtu anaweza kuua na asijulikane basi ujue ana akili kubwa sana...
Napenda watu wa aina hii
So sad , my best rapper was a killerName: Dayvon Daquan Bennett.
Other names: Von. Grandson.V-Roy.
Born: August 9, 1994. Chicago, Illinois, USA
Died : November 6, 2020. Atlanta, Georgia.
Genres : Hiphop, drill, gangster rap, trap.
Label : Only The Family.
Childrens : 3
Cause of death : Gunshot wounds.
View attachment 2872238
Rappers killed by King von
1. King Doc
2. Dirty Rell
3. Modell
4. P5
5. Lil James
6. Lil mac
7. Malcom stuckey
8. K.I
9. MannMann
10. Tyriq
11. FBG Duck
View attachment 2872242
King Von was killed by Timothy Leeks.
View attachment 2872250
Nmetazama documentary pasipo kuruka kitu. Aisee hawa majamaa sikuwa na wafahamu kwasababu mimi si mpenzi wa drill rap. Lakini hawa jamaa wanaishi maisha ya kimbwa mbwa same na yale yale ya akina 2pac miaka ya 90.Name: Dayvon Daquan Bennett.
Other names: Von. Grandson.V-Roy.
Born: August 9, 1994. Chicago, Illinois, USA
Died : November 6, 2020. Atlanta, Georgia.
Genres : Hiphop, drill, gangster rap, trap.
Label : Only The Family.
Childrens : 3
Cause of death : Gunshot wounds.
View attachment 2872238
Rappers killed by King von
1. King Doc
2. Dirty Rell
3. Modell
4. P5
5. Lil James
6. Lil mac
7. Malcom stuckey
8. K.I
9. MannMann
10. Tyriq
11. FBG Duck
View attachment 2872242
King Von was killed by Timothy Leeks.
View attachment 2872250
Hakuwa na akili actually alikuwa mjinga mjinga. Ukitazama hiyo documentary ukasoma comments za watu wanaoishi Atlanta, wanadai polisi wana tabia ya kuacha kufuatilia mauaji ya gangs killing maana wanajua aliyeua atauawa pia.ukiona mtu anaweza kuua na asijulikane basi ujue ana akili kubwa sana...
Napenda watu wa aina hii
Vyombo vya usalam havijui na vinafatilia. Accha uongo. Na watu wengi tu wamekaa ndani kifo cha Tupac.Hakuwa na akili actually alikuwa mjinga mjinga. Ukitazama hiyo documentary ukasoma comments za watu wanaoishi Atlanta, wanadai polisi wana tabia ya kuacha kufuatilia mauaji ya gangs killing maana wanajua aliyeua atauawa pia.
Yani wanadai jinsi wanavyo handle case za mtu aliyeuawa in a gang ni tofauti na mauaji ya kawaida. Hawatumii resources nyingi kuchunguza mauaji ya bifu za magang maana wanajua mwishowe wahusika watauana tu kwa ujinga wao wenyewe.
Jamaa alikuwa anaimba anapost alichofanya lakini bado hawakumkamata.
Ukitaka kujua hilo, huoni hata mauaji ya 2pac na notorious mpaka leo japo inadaiwa vyombo vya usalama wanajua nani aliyafanya lakini hawakuwahi yapa uzito.
Ni kwa sababu ni gang killings hayana tofauti na hawa wakina king von
Ni nani amekuwa convicted? Toka mwaka 95. Juzi umesikia audio ya yule kijana akidai didy alitoa pesa kwa kichwa cha pac lakini umesikia didy kakamatwa?Vyombo vya usalam havijui na vinafatilia. Accha uongo. Na watu wengi tu wamekaa ndani kifo cha Tupac.
Kwa hiyo ulitaka Diddy akamatwe kwa kuwa tu kijana kasema alitoa pesa ili Pac auawe? Kirahisi rahisi tu.Ni nani amekuwa convicted? Toka mwaka 95. Juzi umesikia audio ya yule kijana akidai didy alitoa pesa kwa kichwa cha pac lakini umesikia didy kakamatwa?
Nmetazama documentary nyingi kuhusu mauaji ya pac kuna jina moja linajitokeza kila mara, na mahojiano ya makachero. Hii kesj hawakuwa na nia ya kuisolve labda huko mbeleni ila kwa sasa haina tofauti na cold case tu ambayo hawana nia nayo...
Ndio maana tunarudi pale pale hii kesi ya kuawa hawa watu vyombo vya usalama havikuwa na nia ya kuisolve. Nimeona interviews nyingi na makachero wa zamani waliohusika kwenye uchunguzi wanasema documents na taarifa walizokusanya zilichukuliwa zikatiwa kwenye maboksi.Kwa hiyo ulitaka Diddy akamatwe kwa kuwa tu kijana kasema alitoa pesa ili Pac auawe? Kirahisi rahisi tu.
Sio kweli. Hata mimi nimeona hizo interviews, tatizo ni kwamba wengi wa walioshuhudia mauaji hao hawataki kutoa ushirikiano kwa polisi kwa kuwa wataonekana masnitch.Ndio maana tunarudi pale pale hii kesi ya kuawa hawa watu vyombo vya usalama havikuwa na nia ya kuisolve. Nimeona interviews nyingi na makachero wa zamani waliohusika kwenye uchunguzi wanasema documents na taarifa walizokusanya zilichukuliwa zikatiwa kwenye maboksi.
Wanajua nini kilitokea ila kwakuwa ni ugomvi wa blacks na magang yao basi waliacha wauane tu wawapunguzie kazi.
Mdogo wangu hujui hata unachokiandika... Nenda basi kasome Atlanta news wanaeleza vipi kuhusu hayo mauaji, ukishindwa kasome BBC na Sky wameeleza nini kwa ushahidi...Hakuwa na akili actually alikuwa mjinga mjinga. Ukitazama hiyo documentary ukasoma comments za watu wanaoishi Atlanta, wanadai polisi wana tabia ya kuacha kufuatilia mauaji ya gangs killing maana wanajua aliyeua atauawa pia.
Yani wanadai jinsi wanavyo handle case za mtu aliyeuawa in a gang ni tofauti na mauaji ya kawaida. Hawatumii resources nyingi kuchunguza mauaji ya bifu za magang maana wanajua mwishowe wahusika watauana tu kwa ujinga wao wenyewe.
Jamaa alikuwa anaimba anapost alichofanya lakini bado hawakumkamata.
Ukitaka kujua hilo, huoni hata mauaji ya 2pac na notorious mpaka leo japo inadaiwa vyombo vya usalama wanajua nani aliyafanya lakini hawakuwahi yapa uzito.
Ni kwa sababu ni gang killings hayana tofauti na hawa wakina king von
Ntajie mmoja aliyeko jera amekuwa convicted kwa kumuua pac just mmoja tu aliyehukumiwa kwa kumuua pac.Mdogo wangu hujui hata unachokiandika... Nenda basi kasome Atlanta news wanaeleza vipi kuhusu hayo mauaji, ukishindwa kasome BBC na Sky wameeleza nini kwa ushahidi...
Lakini umenishangaza uliposema mauaji ya Pac hayakupewa uzito wakat kuna list ya watu waliohusika wapo jela kwasabab ya mauaji ya Pac na Big...
Acheni story za vijiweni.