beefinjector
JF-Expert Member
- Jul 23, 2009
- 2,458
- 2,496
Ni kina nani hao walioko jela kwa mauaji ya Pac na Biggie?Mdogo wangu hujui hata unachokiandika... Nenda basi kasome Atlanta news wanaeleza vipi kuhusu hayo mauaji, ukishindwa kasome BBC na Sky wameeleza nini kwa ushahidi...
Lakini umenishangaza uliposema mauaji ya Pac hayakupewa uzito wakat kuna list ya watu waliohusika wapo jela kwasabab ya mauaji ya Pac na Big...
Acheni story za vijiweni.