Kinga inayozuia kuambukizwa HIV

Kinga inayozuia kuambukizwa HIV

Kichwa Ngumu

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
1,726
Reaction score
314
Heshima kwenu
Jana nikiwa na jamaa zangu tukipata moja moto na nyingine baridi huku tukipiga stori za hapa na pale ikaibuka mmada ya ukimwi na tukaanza kuijadili. katika kujadili mambo yalikuwa ni yale ambayo tayari nayafaham na machache sikuyafaham na hata ilikuwa vigumu kuamini coz sinaweza zikawa ni stori za pombe ndio iliyopelekea michango hiyo. mambo yenyewe ni kama ifuatavyo.
  1. Kuna uwezekano mwanamke aliye athirika na mwanaume asiyeathirika wakaishi pamoja na kuendeleza uhusiano wao wa kimapenzi; sina tatizo na hilo coz watatumia condom
  2. Rejea namba 1 wakitaka kuzaa kuna mafuta special yanapakwa kwenye uume wa mwanaume hivyo akifanya bila condomu hawezi athirika-hapa ndio utata mkubwa unaponijia kama inawezekana si watupe ili tutumie kama kinga kama inavyotumika condom?
  3. Kuna uwezekano mtoto atakayezaliwa (rejea namba 2) asi athilike - nimewahi kusikia lkn sina logic ya hilo
  4. aliyeathirika akianza kutumia ARV hata akifanya mapenzi bila kutumia kondomu hawezi kumuambuza mweza wake. Duuu hapa nilichoka kabisa nikaona basi hakuna haja ya kutumia kinga kwa aliyeathirika kama ameanza kutumia ARV wala hayo mafuta special

Karibuni tunajadili, imekaa kitaalam zaidi kama huna hoja soma comments zitazotolewa na memba wengine
Asante
 
mmh..kiduku hiki..
lakin nmeshuhudia watu wengi wakitembea na wenye ngoma lakin hawapati tena mara nying tu..
 
Ulevi ni nouma funda moja tu linatosha mtu kutema pumba na matusi.
 
Back
Top Bottom