Mahakama ndio itakayoamua, wewe acha Pinda naye '' APIGWE'' tu na mahakama. Mwisho wa ubaya nia aibu kwa Pinda
Mwingine huyu..eti ni makada wa CDM kwa kuwa ni wachaga..unaweza kuconclude kirahisi hivyo?..wachaga wote ni CDM?...kwa hiyo Cyril Chami na Mwanri walichaguliwa na CDM?..wanaojiita wanaharakati wa LHRC ni makada wa chadema niliwaona kwenye ITV ni wachagga, je unategemea watatumia weledi kujua kama mbunge akisema bungeni anashtakiwa au maamuzi yake ataongozwa ubavicha?
wanaojiita wanaharakati wa LHRC ni makada wa chadema niliwaona kwenye ITV ni wachagga, je unategemea watatumia weledi kujua kama mbunge akisema bungeni anashtakiwa au maamuzi yake ataongozwa ubavicha?
Wanaharakati wanaonekana kuweweseka na kauli ya Waziri mkuu kwa kuwa wao ni washawishi wakubwa kwa watu kuandamana, na kwa kauli ya waziri mkuu wanajiona wao nao watakuwa wahanga wa kauli hiyo, Hivi hawajui au wamesahau kuwa mbunge hatashitakiwa kwa kauli yoyote aliyoitoa bungeni. Pinda aliongelea bungeni, mimi naona wanatakiwa waombe muongozo wa spika kwa kutumia wabunge na sio kwenda mahakamani, hapa itakula kwao.
Kinga haina mipaka..??? Yaani hata mtu akiamua ampige spika au yeyote yule akiwa ndani ya bunge bado atakuwa na kinga..??Wanaharakati wanaonekana kuweweseka na kauli ya Waziri mkuu kwa kuwa wao ni washawishi wakubwa kwa watu kuandamana, na kwa kauli ya waziri mkuu wanajiona wao nao watakuwa wahanga wa kauli hiyo, Hivi hawajui au wamesahau kuwa mbunge hatashitakiwa kwa kauli yoyote aliyoitoa bungeni. Pinda aliongelea bungeni, mimi naona wanatakiwa waombe muongozo wa spika kwa kutumia wabunge na sio kwenda mahakamani, hapa itakula kwao.
wanaojiita wanaharakati wa LHRC ni makada wa chadema niliwaona kwenye ITV ni wachagga, je unategemea watatumia weledi kujua kama mbunge akisema bungeni anashtakiwa au maamuzi yake ataongozwa ubavicha?