Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo Sheria yako uliisoma chuo gani? Kwenye mataptap nini?Kinga ya mbunge ni pale anapoongea jambo akiwa ndani ya bunge, na pinda ni mbunge na ameongelea ndani ya bunge.Kinga ipo palepale.
Umevunja katiba na umeapa kuilinda nini kinafuata?
Kinga ya mbunge ni pale anapoongea jambo akiwa ndani ya bunge, na pinda ni mbunge na ameongelea ndani ya bunge.Kinga ipo palepale.
Kuna mbunge alimtukana waziri mkuu ndani ya bunge akapelekwa mahakamani japo baadaye mahakama ilimwona hakuwa na hatia. Hiyo inachukuliwaje???Kinga ya mbunge ni pale anapoongea jambo akiwa ndani ya bunge, na pinda ni mbunge na ameongelea ndani ya bunge.Kinga ipo palepale.
Wanaharakati wanaonekana kuweweseka na kauli ya Waziri mkuu kwa kuwa wao ni washawishi wakubwa kwa watu kuandamana, na kwa kauli ya waziri mkuu wanajiona wao nao watakuwa wahanga wa kauli hiyo, Hivi hawajui au wamesahau kuwa mbunge hatashitakiwa kwa kauli yoyote aliyoitoa bungeni. Pinda aliongelea bungeni, mimi naona wanatakiwa waombe muongozo wa spika kwa kutumia wabunge na sio kwenda mahakamani, hapa itakula kwao.
itakuwa umenusa unga wa idd azan ww
Vilaza ninaowasema utawajua tu kwa kauli zao...mwingine huyu na bado watajitokeza wengi.walioiona kauri ya pinda mbaya wahame nchi waende wanakojua kila nchi inautaratibu wake
Hakuvunja sheria alikuwa anatoa maelekezo tu pinda ni kiongozi bora anayejiaminiUmevunja katiba na umeapa kuilinda nini kinafuata?