Kinga ya bunge dhidi ya mh:Pinda

Kinga ya bunge dhidi ya mh:Pinda

Hakuna kuweweseka, tunamsubiri Mhe.Pinda akajibu tuhumu za kukiuka katiba bila kupinda pinda katika maelezo ya utetezi.
 
Kipigo noma ,hao sugu2 watatuvunja viuno make watakutaimu hujajiandaa na uzazi utapotea,bosi wao kama hataki kuomba msamaha apelekwe tu mahakamani, haki itapatikana huko na kinga yake itaonekana huko.
 
Kinga ya mbunge ni pale anapoongea jambo akiwa ndani ya bunge, na pinda ni mbunge na ameongelea ndani ya bunge.Kinga ipo palepale.
Hiyo Sheria yako uliisoma chuo gani? Kwenye mataptap nini?
 
Kinga ya mbunge ni pale anapoongea jambo akiwa ndani ya bunge, na pinda ni mbunge na ameongelea ndani ya bunge.Kinga ipo palepale.

Hili ni kosa la kikatiba, na sheria yoyote inapo-kiuka katiba, moja kwa moja sheria hiyo inakufa. Hapa mambo ni magumu kisheria na wala sheria ya kinga ya ubunge, hairuhusiwi kukiuka katiba. Acha mambo yaive, msiweweseke.
 
Kinga ya mbunge ni pale anapoongea jambo akiwa ndani ya bunge, na pinda ni mbunge na ameongelea ndani ya bunge.Kinga ipo palepale.
Kuna mbunge alimtukana waziri mkuu ndani ya bunge akapelekwa mahakamani japo baadaye mahakama ilimwona hakuwa na hatia. Hiyo inachukuliwaje???
 
Hivi Mahakama za Tanzania ziko huru siku hizi?
 
Wanaharakati wanaonekana kuweweseka na kauli ya Waziri mkuu kwa kuwa wao ni washawishi wakubwa kwa watu kuandamana, na kwa kauli ya waziri mkuu wanajiona wao nao watakuwa wahanga wa kauli hiyo, Hivi hawajui au wamesahau kuwa mbunge hatashitakiwa kwa kauli yoyote aliyoitoa bungeni. Pinda aliongelea bungeni, mimi naona wanatakiwa waombe muongozo wa spika kwa kutumia wabunge na sio kwenda mahakamani, hapa itakula kwao.

Kwenye sheria kuna principle ya "the reasonable person" - yaani, kauli ambayo inatoka bungeni na isiyo na utata ni ile ya 'reasonable person'. Kama mtu anajificha kwenye ibara inayosema "mbunge hawezi kushtakiwa kwa kauli yoyote..." mahakama itaona kama kauli iliyotolewa ni ile ya 'reasonable person' na kama inakiuka hii kanuni ina maana mahakama itatoa tafsiri sahihi kwamba ama kauli ya Pinda ni worthwhile au ni unfortunate kutolewa na mtu kama yeye ambaye ndiye anapaswa awe mfano. Yaani, serikali inayowafundisha raia kutii sheria za nchi ni lazima iwe mstari wa mbele kuzilinda na kama inakuwa mstari wa mbele kuzivunja inakosa 'legitimacy' ya kuwafundisha raia kuzitunza au kuzilinda.
 
Waliomo ndani ya bunge waliapa kuilinda katiba ya nchi yetu.
Hata Rais kwa suala la kuvunja katiba hana kinga hapo...soma ibara ya (49) kifungu cha pili cha katiba yetu!
Pinda alichofanya ni kuvunja katiba....huu ni ukiukwaji mkubwa wa sheria ambayo ime rise kutokana na katiba
 
madhara ya kuwahusisha cdm na wachaga yanashawishi niamini kwamba vyama vimewakinai wachaga/haviwataki/vimewabagua sasa visilalamike itakapotokea wachaga wote kuwa cdm.

ni aibu zaidi kwa chama tawala kuwabagua wananchi wake na kuonyesha kutowataka wachaga. mangi
wahi cdm mzee! rudisha hizo kadi za vyama vingine aisee.
 
​pinda jembe namkubali poa njikumbushe nasema wanaokaidi wapigwe tu na tena wapigwe sasa tumechoka waachieni police wafanye kazi yao hawa ndio viongozi tunaowahitaji
 
Mizengo Pinda bado yupo hapo alipo kwa sababu kuu tano;

  1. Chama kinachotawala ni CCM
  2. Aliyeko madarakani ni Jakaya Mrisho Kikwete.
  3. Tunao utawala usioheshimu sheria.
  4. Mahakama yetu imekosa uongozi thabiti.
  5. Taifa bado limejaa vilaza kama khairun.
Hakuna nchi nje ya Tanzania, Waziri Mkuu anaweza akatoa kauli ya kipumbavu kama aliyotoa Pinda akaendelea kubaki madarakani hata kwa msaa ishirini na nne...ni Tanzania tu.
 
mbona police wanauliwa hamusemi hizi ni akili za kuunga kweli
 
walioiona kauri ya pinda mbaya wahame nchi waende wanakojua kila nchi inautaratibu wake
 
Hivi mkuu umeambiwa usifanye hivi wewe unafanya tu hivi nini kitatokea siku zote kiongozi anayesimama kwenye haki huwa hapendwi na akipendwa uje anafata matakwa ya anaowaongoza kitu ambacho ni makosa mbona polisi wetu wanakufa Kitengo cha sheria na haki za binadamu mbona huwa hawaongei leo hii kuwaambia polisi wanaokiuka sheria wawajibishwe amefanya kosa ila angesema polisi wauliwe mungefurahi tena ninaomba naye mkuu wa JWTZ naye aseme ukivunja sheria achukuliwe hatua kali africa demokrasia bado haijakua kulingana na nchi za ulaya pinda ni kiongozi shupavu hata waliomchagua hawakukosea kabisa
 
Back
Top Bottom