Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Duhhh,wanaojiita wanaharakati wa LHRC ni makada wa chadema niliwaona kwenye ITV ni wachagga, je unategemea watatumia weledi kujua kama mbunge akisema bungeni anashtakiwa au maamuzi yake ataongozwa ubavicha?
mpaka wanakadi za chadema wakati ukifika tutawaweka wazi.Duhhh,
yaani mtu umemuona kwenye tv kisha ukajua kuwa ni mchagga?
Kweli bange ni mbaya, kama sio bange vitakuwa ni vitu vingine tu vya kimila kama laana, kubemendwa na makuzi mabaya
Ubunge wa Pinda ni sawa nawa viti maalumu hana kura hata moja kutoka jimboni kwake.nilikuwa sijui kama pinda ni mbunge, mi nikajua ni wa viti maalumu
kwenye ITV wana kawaida ya kuandika majina pale chini.... kuhusu bange mvutaji anajulikana ni yule mheshimiwa wa arusha hata wapiga kura wake wanajua, hata vimacho vyake vinaonyesha.Duhhh,
yaani mtu umemuona kwenye tv kisha ukajua kuwa ni mchagga?
Kweli bange ni mbaya, kama sio bange vitakuwa ni vitu vingine tu vya kimila kama laana, kubemendwa na makuzi mabaya
Kwa hiyo kinachomlinda ni kinga tu ya kuongea ndani ya bunge, kwa hiyo unakubali kwamba kavunja katiba?Kinga ya mbunge ni pale anapoongea jambo akiwa ndani ya bunge, na pinda ni mbunge na ameongelea ndani ya bunge.Kinga ipo palepale.
Wanaharakati wanaonekana kuweweseka na kauli ya Waziri mkuu kwa kuwa wao ni washawishi wakubwa kwa watu kuandamana, na kwa kauli ya waziri mkuu wanajiona wao nao watakuwa wahanga wa kauli hiyo, Hivi hawajui au wamesahau kuwa mbunge hatashitakiwa kwa kauli yoyote aliyoitoa bungeni. Pinda aliongelea bungeni, mimi naona wanatakiwa waombe muongozo wa spika kwa kutumia wabunge na sio kwenda mahakamani, hapa itakula kwao.
hawa wanaharakati watatafuta pa kujificha pindi chadema itakaposambaratika.
Huyu taahira naye katoka wapi tena?
Well said.Kwa hiyo kinachomlinda ni kinga tu ya kuongea ndani ya bunge, kwa hiyo unakubali kwamba kavunja katiba?
Katiba ndio sheria mama,sheria nyingine zooote zinatokana na katiba,kwa mantiki hiyo basi kama sheria inakinzana na katiba kwa vyovyote vile katiba itasimama juu ya hiyo sheria.
wanaojiita wanaharakati wa LHRC ni makada wa chadema niliwaona kwenye ITV ni wachagga, je unategemea watatumia weledi kujua kama mbunge akisema bungeni anashtakiwa au maamuzi yake ataongozwa ubavicha?
kwenye ITV wana kawaida ya kuandika majina pale chini.... kuhusu bange mvutaji anajulikana ni yule mheshimiwa wa arusha hata wapiga kura wake wanajua, hata vimacho vyake vinaonyesha.