INAUZWA King'amuzi cha Apple kinauzwa

INAUZWA King'amuzi cha Apple kinauzwa

keikiu

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2013
Posts
2,337
Reaction score
1,969
*King'amuzi cha Apple kinauzwa
*Hauitaji dish kutumia
*Hakina malipo ya kila mwezi
*Malipo ni bundle yako tu

*Bei 150,000

Tuwasiliane 0659358599

IMG_20171008_123443_695.jpg
 
Afadhali malipo ya mwezi mkuu, bando halishikiki asee,
 
Ebu fafanua kidgooo ikiwezekana tuwekee televishen gani ukiwa nacho unaweza ukazipata na pia fafanua unaposema akitumii malipo ila kinatumia bando ya nini tigo airtell halotel au voda.na je tunapataje na sh ngap tuwlezeee kidogooo mkuu maana na mimi nilikuwa.natafuta kingamuz
 
TV yoyote ile inakubali kiongozi
 
nimeanza kutumia toka 2015 tena nina 4th gen ukitaka kutumia unadown load Iptv very expensive my dear kwa mtu wa kawaida hata ukitumia u tube yake bado ni expensive usiwadanganye watu
 
mkuu toa maelezo ya kutosha,
Bando kwa 24hrs ni kiasi gani au GB ngap?
vipi matatizo ya internate, km net ikizingua?
 
Itakuwa gharama. Maana tumezoea TV ziko on mda mwingi...
 
DEAL CLOSED MZIGO UMESHAISHA
 
Back
Top Bottom