King'amuzi cha Canal+ chaanza kuwa na chaneli za Kiswahili

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
10,962
Reaction score
7,830
Hatimae chaneli za Kiswahili zaanza kupatikana katika king'amuzi cha Canal+ ambacho pia kinarusha mechi mbalimbali za soka za ulaya kwa lugha ya kifaransa.

King'amuzi hiko ambacho kinapatikana kwa connection hapa Tanzania, kimetokea kujizolea umaarufu mkubwa kwa wapenda kandanda.

1627B92E-A873-4CDA-BE8B-76F4D93E20F6.jpeg
694F2E2E-5FAA-4EBE-9632-DEBCB8E79032.jpeg
 
Hizo ndio channel za wazee miaka 73+ wanaiangalia hizo channel huku wakisubiri malipo ya mgao wa pension mwisho wa mwezi, wewe kijana wa kileo umezaliwa 2010 kuelekea juu una stress za Ajira kaangalie Maisha Magic huko DStv
Nipo hapa mzee wa zama hizo nikiiangalia filamu la Sholay...
Hili jawabu alilompa kijana huyu ni muafaka kabisa.
 
Mzee wa miaka 70 anayekaa kuangalia izo channel ni mzee aliyevurugwa akili pa kubwa

Mtu mzima yeyote anayefuatilia sijui maigizo sijui tamthiliya uwezo wake wa kufikiri ni mdogo sana
Hizo ndio channel za wazee miaka 73+ wanaiangalia hizo channel huku wakisubiri malipo ya mgao wa pension mwisho wa mwezi, wewe kijana wa kileo umezaliwa 2010 kuelekea juu una stress za Ajira kaangalie Maisha Magic huko DStv
 
Kikishatolewa mazonge yote tutakinunua, Wasambaa tunaangaliaje kifaransa.ukoloni ulipitaga japo unarudi kimakalio kalio.
 
Mzee wa miaka 70 anayekaa kuangalia izo channel ni mzee aliyevurugwa akili pa kubwa

Mtu mzima yeyote anayefuatilia sijui maigizo sijui tamthiliya uwezo wake wa kufikiri ni mdogo sana
Umepotea njia usifikiri wazee wote wanaishia huko ambako mvua ikinyesha mnawaza mtalala vipi au wingu likitanda mnaanza kuambizana Leo usiku itakuaje maana mnajua adha mtakayoipata, elewa nazungumzia wazee wa kwenye mazingira gani sio wazee wa kwa dumba au kwa mtogore, kidongo chekundu, kwa mbiku, nk nazungumzia wazee eeh ushaelewa au bado dish linawaka channel wazee asubuhi chai maziwa, mayaj, asali na mkate usiowekwa chachu, parachichi kwa mbali, mayai mchemsho, bado haujaelewa sizungumzii wazee asubuhi chai rangi na kiporo Cha ugali wa Jana uliopoa, mzee km huyo hawezi kujua kuhusu Zee Cinema kashazoea kushinda shambani na kidumu Cha maji na kiredio chake Cha mbao akisikiliza TBC
 
Mzee anayeishi hayo maisha hawezi kufuatilia hayo mataka taka ulitaja hapo juu

Wazee wa hivyo wanasoma zaidi vitabu na hawana muda na TV

Wewe utakuwa mpori pori unafikiria kukaa kwenye TV ni inshara ya utajiri

Sina haja ya kukujibu mara nyingi jibu nimekwisha kupatia, endelea kuota yaan mda wote asome vitabu hana muda wa kurelax na kujinyoosha kiuno au sio ? Basi mjukuu wangu usibishe sana tuishie hapa usije ukapanic bure ukavunja keyboard za simu yako kwa hasira
 
Mkuu nauliza ?? Star gold, HBO, universal movie, wwe, zee cinema na nyinginezo zimo?? Au ni mbwembwe tu🤔🤔
Mkuu,japo ni mda,ila kila kampuni ina mazuri yake. Kila aina ya entertainment unayoona Azam,Dstv,..... vipo vya kutosha. Advantage kubwa ukilinganisha na wengine, ni mipira. Mechi nyingi,kwa bei nafuu.
Harafu,lugha labda ndo iwe tatizo,ila kwenye mpira,hasa wachezaji na gemu lenyewe ndo huvutia watu.
 
Back
Top Bottom