King'amuzi cha Canal+ chaanza kuwa na chaneli za Kiswahili

King'amuzi cha Canal+ chaanza kuwa na chaneli za Kiswahili

Mkuu,japo ni mda,ila kila kampuni ina mazuri yake. Kila aina ya entertainment unayoona Azam,Dstv,..... vipo vya kutosha. Advantage kubwa ukilinganisha na wengine, ni mipira. Mechi nyingi,kwa bei nafuu.
Harafu,lugha labda ndo iwe tatizo,ila kwenye mpira,hasa wachezaji na gemu lenyewe ndo huvutia watu.
Ni kitambo kweli, Nina DStv mkuu
👉Halafu Nina mzigo was movies na series za kutisha.

Sema Kuna king'amuzi kiko vizuri, kina channel Kaka z cinema, star gold, hbo, Sony max, Paramount, dah
👉Siki kumbuki jina
 
DSTV, labda mazoea tu,ila haiifikii Canal+.
Vipo ving'amuzi vya star,niliwahi kiona.
DSTV, kwa mahitaji ya mipira yote,ni gharama kubwa,tofauti na hicho
 
Attachments

  • IMG-20230921-WA0013.jpg
    IMG-20230921-WA0013.jpg
    36.7 KB · Views: 16
  • IMG-20230602-WA0017.jpg
    IMG-20230602-WA0017.jpg
    65.9 KB · Views: 14
Back
Top Bottom