Akijibu hili swali lako nitakitafuta.Mkuu nauliza ?? Star gold, HBO, universal movie, wwe, zee cinema na nyinginezo zimo?? Au ni mbwembwe tu🤔🤔
Naipenda azam Kwa sababu hio tuMkuu nauliza ?? Star gold, HBO, universal movie, wwe, zee cinema na nyinginezo zimo?? Au ni mbwembwe tu[emoji848][emoji848]
Hakuna hizo hazimoMkuu nauliza ?? Star gold, HBO, universal movie, wwe, zee cinema na nyinginezo zimo?? Au ni mbwembwe tu🤔🤔
Hizo ndio channel za wazee miaka 73+ wanaiangalia hizo channel huku wakisubiri malipo ya mgao wa pension mwisho wa mwezi, wewe kijana wa kileo umezaliwa 2010 kuelekea juu una stress za Ajira kaangalie Maisha Magic huko DStvSasa mtu mzima unakaa kuangalia star gold sijui zee cinema [emoji16]
Nipo hapa mzee wa zama hizo nikiiangalia filamu la Sholay...Hizo ndio channel za wazee miaka 73+ wanaiangalia hizo channel huku wakisubiri malipo ya mgao wa pension mwisho wa mwezi, wewe kijana wa kileo umezaliwa 2010 kuelekea juu una stress za Ajira kaangalie Maisha Magic huko DStv
Hizo ndio channel za wazee miaka 73+ wanaiangalia hizo channel huku wakisubiri malipo ya mgao wa pension mwisho wa mwezi, wewe kijana wa kileo umezaliwa 2010 kuelekea juu una stress za Ajira kaangalie Maisha Magic huko DStv
Umepotea njia usifikiri wazee wote wanaishia huko ambako mvua ikinyesha mnawaza mtalala vipi au wingu likitanda mnaanza kuambizana Leo usiku itakuaje maana mnajua adha mtakayoipata, elewa nazungumzia wazee wa kwenye mazingira gani sio wazee wa kwa dumba au kwa mtogore, kidongo chekundu, kwa mbiku, nk nazungumzia wazee eeh ushaelewa au bado dish linawaka channel wazee asubuhi chai maziwa, mayaj, asali na mkate usiowekwa chachu, parachichi kwa mbali, mayai mchemsho, bado haujaelewa sizungumzii wazee asubuhi chai rangi na kiporo Cha ugali wa Jana uliopoa, mzee km huyo hawezi kujua kuhusu Zee Cinema kashazoea kushinda shambani na kidumu Cha maji na kiredio chake Cha mbao akisikiliza TBCMzee wa miaka 70 anayekaa kuangalia izo channel ni mzee aliyevurugwa akili pa kubwa
Mtu mzima yeyote anayefuatilia sijui maigizo sijui tamthiliya uwezo wake wa kufikiri ni mdogo sana
Umepotea njia usifikiri wazee wote wanaishia huko ambako mvua ikinyesha mnawaza mtalala vipi au wingu likitanda mnaanza kuambizana Leo usiku itakuaje maana mnajua adha mtakayoipata, elewa nazungumzia wazee wa kwenye mazingira gani sio wazee wa kwa dumba au kwa mtogore, kidongo chekundu, kwa mbiku, nk nazungumzia wazee eeh ushaelewa au bado dish linawaka channel wazee asubuhi chai maziwa, mayaj, asali na mkate usiowekwa chachu, parachichi kwa mbali, mayai mchemsho, bado haujaelewa sizungumzii wazee asubuhi chai rangi na kiporo Cha ugali wa Jana uliopoa, mzee km huyo hawezi kujua kuhusu Zee Cinema kashazoea kushinda shambani na kidumu Cha maji na kiredio chake Cha mbao akisikiliza TBC
Sina haja ya kukujibu mara nyingi jibu nimekwisha kupatia, endelea kuota yaan mda wote asome vitabu hana muda wa kurelax na kujinyoosha kiuno au sio ? Basi mjukuu wangu usibishe sana tuishie hapa usije ukapanic bure ukavunja keyboard za simu yako kwa hasiraMzee anayeishi hayo maisha hawezi kufuatilia hayo mataka taka ulitaja hapo juu
Wazee wa hivyo wanasoma zaidi vitabu na hawana muda na TV
Wewe utakuwa mpori pori unafikiria kukaa kwenye TV ni inshara ya utajiri
Hawawezi kuruhusiwa na akina azam + dstv, watahonga huko TCRA ilimradi Canal+ asipate kibali, na akipewa kibali ni lazima apandishe bei!Watapata wateja wajisajili sasa
Mkuu,japo ni mda,ila kila kampuni ina mazuri yake. Kila aina ya entertainment unayoona Azam,Dstv,..... vipo vya kutosha. Advantage kubwa ukilinganisha na wengine, ni mipira. Mechi nyingi,kwa bei nafuu.Mkuu nauliza ?? Star gold, HBO, universal movie, wwe, zee cinema na nyinginezo zimo?? Au ni mbwembwe tu🤔🤔