King'amuzi cha kileleni feki...

King'amuzi cha kileleni feki...

hhahahaaa,wacha nichekeee ruta wewe? haya sasa unataka niseme uongo?

wahida niseme nini yaani kwanini unakwepa kufunguka nikajua kilichoko moyoni kwako?
 
Last edited by a moderator:
hhahahaaa,wacha nichekeee ruta wewe? haya sasa unataka niseme uongo?
[MENTION]
wahida[/MENTION] niseme nini yaani kwanini unakwepa kufunguka nikajua kilichoko moyoni kwako?
 
Samahani mkuu japo nimechelewa kuchangia lakini naona hii mada imewalenga wageni wa kunako tasnia hii. Ni mtazamo tu.

tasnia ipi?[MENTION] Mulama[/MENTION]
 
dah!kwenye hili eneo ni kweli mkuu,umakini wangu ni mkubwa karibu sawa na ule wa kutafuta shilingi aisee!sema mtu wa sasa aliyepo ni wa dizaini hii aloisema manyanza,sasa ukishughulika asubuhi utakuta jioni mtu kapigwa memo kwa kuchelewa ofisini hivihivi!

lakini pia mkuu mara nyingine na sisi precedent tunayoweka mwanzo huwa inatu-cost ujue!yani mwanzo mzee ulikamuka kama siku ile ronaldinho anapewa standing ovation na real madrid baada ya kuwafunga na soka la mbinguni,kumbe ulifanya kilikua kipya kinyemi tu!sasa mwenzio anajua kiwango ndo hiki au hakipaswi kushuka sana zaidi ya hapa,ndo madhara yanaanza hapo!

kipya kinyemi ingawa kidonda.......Rubuye123
 
Last edited by a moderator:
i know kuibiwa inawezekana kabisa,ila labda na mgeni ambaye mi nimekamata ghala tu napiga na kutembea.(sasa huyu hapa kila mmoja anakuwa na interests zake,wala hata haumizi kichwa kama hajaridhika!).ila wangu mwenyewe,hata kama ni mara ya pili tu akianza 'u-kanumba- nitajua na nitamwambia kwakweli!!(nishawahi fanya hivi kaka,usishtuke!)
[MENTION]
Rubuye123[/MENTION] hapo umelonga.................asiporidhika inakufanya ujione una mapungufu na kuanza kumtafuta mchawi kama kwenye penis enlargement au viagra
 
mwanamke akifika kileleni anamwaga maji kny uke na pia unasikia vibration kny uke wakati anatoa hayo maji,,hayo mengine mnayoyataja humu sio kabisaaa,inaonyesha nlivyo inexperienced wote....kila mtu anabehave anavyojisikia aftrer tendo...kusema ni kiashiria kuwa alifake.....ni kupotoshana,ukijua kumfikisha mtu kileleni thats what matters na sio kutojiamini kama ukisifiwa labda umedanganywa,i hate mwanaume asiyejiamini.:boxing::boxing:
 
naona Mr Rocky uko njiani kwenye hii tasnia.......nimependa mtiririko wako.................lakini usisaha..mgema ukimsifia tembo hulitia maji........

Mkuu kusema yalo moyoni yapaswa uwe na kiasi
Kuyasema yaliyojificha yapaswa uwe na moyo
Kupenda twapenda sana matokeo yake twajisahau
Kusifiwa kwa mgema ni raha
Ila sifa zisizidi mfanowe

Asante kwa sifa zako kuu
Ila kujikweza kwangu ni ngumu
Nitaishia kuzipokea sifa zako kuu
Bila kupoteza umakini wangu
 
Mara nyingi kuwa macho na mgema unaposifiwa......
Mara nyingi ni kuwa mnywaji anakujengea hoja ya siri....
Mara nyingi mgema huvimba kichwa na kudhani mambo shwari
Mara nyingi mambo huwa siyo shwari hata chembe ila hadaa..
Hivi kileleni feki utakitambuaje?

Mpenzio huweza kujifanya mjuaji kwa ghiliba kibao
Na kujitia karidhishwa na dhoruba ulizomletea!
Kumbe wote ni usanii wake wa kufupisha karaha zako..........
Kwa vile kaboreka huhitaji basi yaishe naye apumzike
Hivi kileleni feki utakitambuaje?

Dalili nyingi hukuachia lakini wewe hukupofusha na misifa!
Siri ya kung'amua utapeli huu ni kumjua mjenga hoja...
Hukusubiri ukikaribia kileleni naye kuanza vioja!
Lengo ni kukuharakisha kwa ukelele na mauno balaa..
Hivi kileleni feki utakitambuaje?

Huku hadaa yake ni kuwa naye umemfikisha alikotaka!
Yawaje kila mechi twende sote kileleni kama siyo gheresha zake?
Ukidhani mpo wote basi nawe kulainika na kujiachia!
Kumbe sasa umekuwa teja wa mbinu zake hadaa..
Hivi kileleni feki utakitambuaje?

Ukiona naye kakomesha vimbwanga vyake baada ya wewe..
Basi jua amekuchora na tafuta mbinu mpya ya kumkabili.......
Hakiki pumzi yake kama nayo imekatika ghafla...
Ukiona kanywea na akushurutisha ubanduke basi jua umeliwa.......
Hivi kileleni feki utakitambuaje?


Kwa hawa wa hapa na pale si rahisi akapata kilele,
Maana akili zake ziko kunako mfuko wako.
Anawaza akutoe wewe Yohana fasta, amfuate bwana Faraji.
Kilele ni akili kutulia na kufikiria penzi tu!
Ndipo hapo viungo hushirikiana na kumzawadia mfanyaji!
Kwa hawa wa barabarani ni ngumu kufikia kilimani!
Na hakika si rahisi ukabaini janja yao!
Atakupamba kwa bashasha na kukupa urijali wa kuunga na gundi,
Atakuramba uso na eneo la tukio, ili kukughilibu akili.
Atakujulisha kuwa wewe ni wa kwanza kumjuza kunako mahaba ya peponi,
Huku taratibu akikung'atang'ata kidevu kwa meno yake!
Nawe utajiona Tyson wa ukweli kama si ronadinyo!
Na utachimba zaidi kunako mifuko ya sarawili!
Na usafiri utamkodishia, au Noah ya rafiki utaiazima,
Ili umrudishe kunako maskani yake,
Akifika kwake abadili mavazi, na kutundika kimini cha samawati,
Anaanza kumDIPU Rutashubanyuma, amwambia "nimetoka kwa shangazi Mkanyageni"



Hahahahahaaa... Mnapenda sana Kugongana nyie watu... Ila RUTA si unajua Kabila lao wanasifika Kwa..................

It was really nice... Thanx alot majamaa
 
mwanamke akifika kileleni anamwaga maji kny uke na pia unasikia vibration kny uke wakati anatoa hayo maji,,hayo mengine mnayoyataja humu sio kabisaaa,inaonyesha nlivyo inexperienced wote....kila mtu anabehave anavyojisikia aftrer tendo...kusema ni kiashiria kuwa alifake.....ni kupotoshana,ukijua kumfikisha mtu kileleni thats what matters na sio kutojiamini kama ukisifiwa labda umedanganywa,i hate mwanaume asiyejiamini.:boxing::boxing:

Jestina wewe sungura mjanja sana...unatumia mbinu ya kutuponda ili tusiendelee kuwachunguza kama huwa mnafika mtakao au la....smart gal...........lakini hatudanganyiki safari hii.....LOL
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaaa... Mnapenda sana Kugongana nyie watu... Ila RUTA si unajua Kabila lao wanasifika Kwa..................

It was really nice... Thanx alot majamaa

Ni kweli Questt lakini huoni ni muhimu kuwa na king'amuzi cha kujua kama kazi umeipatia au la...ili ujipange upya pale uonapo kuna mapungufu..............
 
Last edited by a moderator:
Asante for the avatar. Kuhusu kiu baada ya match mi nilikua sijawahi sikia hiyo habari... Na sioni connection.

you are damn right.......RussianRoulette........there is no connection at all.......am still obssesed with your avatar it reminds me of a movie "Fatal attraction"...................nikichanganya na hiyo user name.....................am scared of things you may be capable of..............
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kusema yalo moyoni yapaswa uwe na kiasi
Kuyasema yaliyojificha yapaswa uwe na moyo
Kupenda twapenda sana matokeo yake twajisahau
Kusifiwa kwa mgema ni raha
Ila sifa zisizidi mfanowe

Asante kwa sifa zako kuu
Ila kujikweza kwangu ni ngumu
Nitaishia kuzipokea sifa zako kuu
Bila kupoteza umakini wangu

Mr Rocky.................wewe una busara sana.............humble yourself before God and he will exalt you above your nemesis................and admirers as well.....smart move, man
 
Last edited by a moderator:
makelele feki mbona utayajua tu.....akiona hushuki atakwambia ukojoe loh!!!!!

BADILI TABIA .........hilo mbona jepesi...............si unamwambia aanze yeye na wewe utafuata nyayo tu............kwani iko shida gani?
 
Last edited by a moderator:
ntawaambia kipimo chake, ni kidogo mno.
Hakidanganyi wala nini, si makelele wala macho mekundu
si kuomba maji ya kunywa wala kuomba gazeti
si kusinzia wala kuzubaa
uache upanga alani mwake hata kwa dakika
kuna lugha upanga na ala huongea pamoja
basi hapo hapo ujue umemaliza mchezo

Ila hapa si pana watoto?
 
hehehee ,yaan leo kazi mm naseema kweli tu ,kwan mkweli mpenzi wa mungu,, bado niponipo kwanza ,,
rubuye hapa sidanganyi mm:A S thumbs_down:

we mwanamke wewe,uroongo kwamrembo kama wewe hata hupendezi ujue!!haya hebu sema kwanini huwa una-fake kufika kibo mama,upesi kabla 'sijakuchapa!!'
 
Back
Top Bottom