kwangu iko bomba kabisa ila hilo tatizo huwa naliona nikiweka Chanel TenUnaangalia TV unaskia muziki toka Redio Sibuka,Magic FM ni upuuzi mtupu..
Kwenye remote yako kuna button imeandikwa track, bonyeza hiyo mara 1 wakati ukiwa unatazama channel ten.kwangu iko bomba kabisa ila hilo tatizo huwa naliona nikiweka Chanel Ten
Wewe umetumwa!
Hilo la chanel ten ni kweli hata mimi nimeliona. Sijui inaingiliana na radio gani? Ina mana wahusika hawajagundua hili tatizo??kwangu iko bomba kabisa ila hilo tatizo huwa naliona nikiweka Chanel Ten
Ukinunua tu wanakwambia hili tatizo na jinsi ya kufanya, kwenye remote yako kuna button ya track ibonyeze mara 1 na tatizo litaondoka.Hilo la chanel ten ni kweli hata mimi nimeliona. Sijui inaingiliana na radio gani? Ina mana wahusika hawajagundua hili tatizo??
Mkuu sawa na mimi, wanangu wanapenda Nockelodeon yaani mpaka inakera. Ukifika wakati wa taarifa ya habari ni vita kugombea remote, kwangu inalipa kwa sababu napata news wakati wowote na watoto wanapata kitu roho inapenda yaani Nick!.Kwangu mimi, King'amuzi cha star-times ni bomba mbaya, sijawahi pata shida ya kiufundi nacho, hata hizo scratches mnazosema kwangu never!
Tukubali kuwa hii ni factor ya location ya mtu, na si shida ya kiufundi ya broadcasting!
Binafsi Sina vipindi vinavyonipendeza sana huko, lakini wanangu wanafaudu mno programs za Nickelodeon na Kidsco, na sioni shida ya kupoteza hiyo 9K monthly.
awali kilikuwa kikikamata shwari kabisa lakini baada ya hali ya hewa kubadilika, king'amuzi cha TBC/star time kinarusha station zote kwa kukwaruza mithili ya CD au video tape iliyokwaruzika.shida tupu!