king'amuzi cha STar TImes hovyoooo..

king'amuzi cha STar TImes hovyoooo..

kwangu iko bomba kabisa ila hilo tatizo huwa naliona nikiweka Chanel Ten
Kwenye remote yako kuna button imeandikwa track, bonyeza hiyo mara 1 wakati ukiwa unatazama channel ten.
 
Jamani poleni sana. Kwa sisi huku Mbeya ni ovyoo kabisa. Kesho nawarudishia wanipe pesa yangu, sitaki kuishi na presha. Huwezi kukaa na kitu ambacho hakisaidii.
 
Wewe umetumwa!

Hiki king'amuzi kweli hakifai, jana nimekisifia nashangaa leo channel zingine zote zinaonekana isipokuwa KBC1 ambayo ndo inaonyesha club bingwa ulaya sijui ni hujuma au kitu gani.
 
duu haka ka kingamuzi hakana mafundi?kama wapo hawacikii!!,,kwani kbc1 inayorusha uefa haionyeshi na hawarekebishi
 
hawa jamaa sijui wakoje.....kuna kamsg kana pop up kakisema UEFA inaonyeshwa ATN so mtu usearch manually na frequency wakatoa.....sasa kwa mimi nisiyejua hata pa kuanzia ndio naanzaje? kwa nini wasitusetie kabisa sisi tukajiburudisha
 
Kwangu mimi, King'amuzi cha star-times ni bomba mbaya, sijawahi pata shida ya kiufundi nacho, hata hizo scratches mnazosema kwangu never!
Tukubali kuwa hii ni factor ya location ya mtu, na si shida ya kiufundi ya broadcasting!
Binafsi Sina vipindi vinavyonipendeza sana huko, lakini wanangu wanafaudu mno programs za Nickelodeon na Kidsco, na sioni shida ya kupoteza hiyo 9K monthly.
 
Nahisi ni kama mambo yale miaka ile kati ya ITV na Channel Ten, ya kugombania kuonyesha EPL wakaishia kushtakiana. Maana ghafla tu Sibuka wamekula jiwe, niliona toka mwisho wa wiki hawakuonyesha hata mechi moja ya EPL. Kbc kwa kuwa haifungwi na sheria za Bongo wakaamua kuizima isionekane, ukiona hivyo ujue wameshashtakiana. Jana wakati naangalia mechi Barca na R Madrid TING kwa kujinafasi wakawa wanatoa package zao, ipo ya 10 kwa mwezi na 25 nikajua hizi ni dalili za kushinda ligi. Ila nina wasiwasi nao wanaweza kuwa Dstv namba 2, wanaonekana kuipenda fweza hawa ni hivyo kuna ushindani.
 
kwangu iko bomba kabisa ila hilo tatizo huwa naliona nikiweka Chanel Ten
Hilo la chanel ten ni kweli hata mimi nimeliona. Sijui inaingiliana na radio gani? Ina mana wahusika hawajagundua hili tatizo??
 
Hilo la chanel ten ni kweli hata mimi nimeliona. Sijui inaingiliana na radio gani? Ina mana wahusika hawajagundua hili tatizo??
Ukinunua tu wanakwambia hili tatizo na jinsi ya kufanya, kwenye remote yako kuna button ya track ibonyeze mara 1 na tatizo litaondoka.
 
Kwangu mimi, King'amuzi cha star-times ni bomba mbaya, sijawahi pata shida ya kiufundi nacho, hata hizo scratches mnazosema kwangu never!
Tukubali kuwa hii ni factor ya location ya mtu, na si shida ya kiufundi ya broadcasting!
Binafsi Sina vipindi vinavyonipendeza sana huko, lakini wanangu wanafaudu mno programs za Nickelodeon na Kidsco, na sioni shida ya kupoteza hiyo 9K monthly.
Mkuu sawa na mimi, wanangu wanapenda Nockelodeon yaani mpaka inakera. Ukifika wakati wa taarifa ya habari ni vita kugombea remote, kwangu inalipa kwa sababu napata news wakati wowote na watoto wanapata kitu roho inapenda yaani Nick!.
 
awali kilikuwa kikikamata shwari kabisa lakini baada ya hali ya hewa kubadilika, king'amuzi cha TBC/star time kinarusha station zote kwa kukwaruza mithili ya CD au video tape iliyokwaruzika.shida tupu!

kumbe ni maeneo mengi?me nilifikiri ni mimi peke yangu.
 
mimi natamani nirudishe kwani napenda sana e. Channel na discovery world. Basi hizo ndio hamna kitu kabisa . Wachina ni wachina tu!
 
Jamani mambo ya startimes inaweza ikawa ni bomu kwani kuna kipindi ilishawahi kulalamikiwa ya kwmb ni kmpn changa sana kule kwao China ila ni mambo ya UCHAKACHUAJI ndiyo imeifanya kufika hapa kwenye kw2 kwenye Dampo ya kupokea hata makampuni ya kijinga kama ilivyo hii ya STARTIMES,Naombe mnijuze hili. Je? King'amuzi ya TING ya ATN inafaa? Kwa yeyote anaye2mia naomba anipe sifa na hata kama ina kasoro nirushie yote kwa ujumla. Mi startimes sitaki hata kuiona. Thankxs!
 
Back
Top Bottom