INAUZWA King'amuzi cha Startimes kinauzwa

Yimakatso

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
7,060
Reaction score
9,468
Ni kile cha silver vya zamani ambavyo ni imara sana kulinganisha na hivi vya plastic vidogo.

Unaweza kutazama channels 7 za bure usipolipia.

Bei ya ofa Tsh 25'000 ila ukitaka na antena yake unalipia Tsh 35,000.

Hakina tatizo lolote nakiuza kwasababu ninavyo viwili kimoja sebuleni na kingine chumba cha watoto kwa ajili ya cartoon zao.

So kwasasa nimeongeza azam tv hivyo sioni sababu ya kuwa na ving'amuzi vingi ndani.

Kipo maeneo ya Tabata Kinyerezi.

0624447898
 
0624484858.
Mkoani unatuma?
 
Back
Top Bottom