King'amuzi cha Zuku kushindwa kukamata signal, tatizo nini?

King'amuzi cha Zuku kushindwa kukamata signal, tatizo nini?

Olmost

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
337
Reaction score
441
Habari wakuu, king'amuzi cha zuku kushindwa kudaka signal ili hali dishi limetegwa vizuri na ving'amuzi vingine vikikamata katika dishi hilohilo, tatizo inaweza kuwa ni nini?
 
Habari wakuu, king'amuzi cha zuku kushindwa kudaka signal ili hali dishi limetegwa vizuri na ving'amuzi vingine vikikamata katika dishi hilohilo, tatizo inaweza kuwa ni nini?
Mkuu bado uko zuku endelea kuibiwa kwanza siku ukijatambha utahama
 
Shida sio zuku, shida ni wewe uliyeinunua zuku wakati kuna ving'amuzi vikali kibao mjini.
 
LNB yako inaeza ikawa marehemu, au antena(dish) imehama kabisa kwenye position ya satellite. Kama waya ulipitisha kwenye dari go and check panya wasije kua wamefanya yao.
Afu Zuku sio kingamuzi kizuri kibadilishe mkuu uenjoy maisha. Weka AZAM AU DSTV maisha mguu juu[emoji2][emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom