Habari wakuu, king'amuzi cha zuku kushindwa kudaka signal ili hali dishi limetegwa vizuri na ving'amuzi vingine vikikamata katika dishi hilohilo, tatizo inaweza kuwa ni nini?
Habari wakuu, king'amuzi cha zuku kushindwa kudaka signal ili hali dishi limetegwa vizuri na ving'amuzi vingine vikikamata katika dishi hilohilo, tatizo inaweza kuwa ni nini?
LNB yako inaeza ikawa marehemu, au antena(dish) imehama kabisa kwenye position ya satellite. Kama waya ulipitisha kwenye dari go and check panya wasije kua wamefanya yao.
Afu Zuku sio kingamuzi kizuri kibadilishe mkuu uenjoy maisha. Weka AZAM AU DSTV maisha mguu juu[emoji2][emoji2]