king'amuzi

Napenda kuwashukuru wadau wooooote kwa ushauri wenu... Nimechagua DSTV na nimeshaongea nao soon watakuja niunganishia... Shukrani za dhati zimuendee my lovely daddy watu8 na wengine woooote..... MBARIKIWE SAAANA

shukrani daughter...
you have opted for the best package of em all...
cheers!!
 
Last edited by a moderator:

This is so unfair kwa mtanzania wa kawaida,kununua ka tv tu tena ka mtumba shughuli,sasa aongezee na king'amuzi juu na malipo ya kila mwezi?
 
This is so unfair kwa mtanzania wa kawaida,kununua ka tv tu tena ka mtumba shughuli,sasa aongezee na king'amuzi juu na malipo ya kila mwezi?

Hapo ni utata sio siri...ila ndio maamuzi ya "Tume ya Kimataifa ya Mawasiliano (ITU)" kuwa ifikapo mwaka 2015, nchi zote duniani ziwe zimehamia kwenye mfumo wa Digitali katika urushaji wa matangazo....
Sasa ni wajibu wa Serikali yetu kupunguza kodi kwenye Ving'amuzi na Televisheni ili kuleta uhaueni kwa Wamatumbi
 

Na sio hilo tu,lakini pia hii italeta ukiritimba maana kina zuku na startimes watakuwa miungu watu sasa hata bei watapandisha.
 
nadhani ni teknolojia ya terrestial ndio ina mushkeli ndugu...urushaji na udakaji matangazo katika mfumo huu huweza kuathiriwa na hali ya hewa sana mvua
Mi natumia zuku lakini mvua ikinyesha tu signal hupotea kabisa,tatizo linaweza kuwa hiyo terrestrial technology?

utaendelea kulitumia kama kawaida na kukamata hizo channels unazokamata, maana zenyewe ni FTA channels....
Mkuu hapo kwenye red naomba unieleweshe kama hutojali.
 
umenifanya nicheke kweliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Why not CCM?
 

Kwa hiyo haya madishi ya kawaida ndo kushneh?
 
Hivi Analoque to Digital Converter "ADC" ndio hivyo ving'amuzi vya eg Startimes?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…