king'amuzi

king'amuzi

Nahitaji utengeneze jeneza zuri la saizi yako liwe zuri kiasi kwamba mtu akiliona atatamani awe amekufa na awekwe ndani ya hilo jeneza

Mimi fundi vitanda, tv,radio, sofa, dish, vin'gamuzi, majiko, masufuria, ac, wiring, mabomba, mageti, gari, pikipiki, baiskeli, simu, n.k. Kama kuna atakayehtaj huduma anitafute kwa Number hii 0713800880. Email:vundiwavyote@hotmail.com.. Tovuti:www.tunatengenezachochote.co.tz.
 
liking'amuz langu la startimes linascrach km cd mbovu.sijui nifanye nn?
 
afu wewe Fidel80 masuala ya ku beep wakati nimejiunga na kifurushi cha SUPA CHEKA nakupigia hupokei sitaki kama simu yako kimeo ishia huko huko!!!
 
Last edited by a moderator:
Lo! afadhali umeleta hii mada hata mie nilikuwa natumia M4C wala sielewi hizo mambo za ving'amuzi ngoja tuwasome wataalamu.

Habar ya mchana wadau....
Mwenzenu mie miaka yote nilikuwa natumua Chadema kuangalizia TV station. Sasa ndo washatangaza kuwa from 31st December,2012 hatutoeza kupata station yeyote. So nataka kununua king'amuzi je ninunue kipi kati ya vifuatavyo:-

- Ting

- Startime

- Zuku na vinginevyo

NB. unaponishauri unanimbia faida na hasara zake!!!!
 
Kuna na DSTV plz!
 
Napenda kuwashukuru wadau wooooote kwa ushauri wenu... Nimechagua DSTV na nimeshaongea nao soon watakuja niunganishia... Shukrani za dhati zimuendee my lovely daddy watu8 na wengine woooote..... MBARIKIWE SAAANA
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom