CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
- Thread starter
- #81
dstv...
daddy umeniiga!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dstv...
mmh hukawi kuandika hata majeneza watengeneza...
yanapatikana pia. Hata kuchmba kaburi
dah... nilikuwa sijui ati!!! unaweza kuja huku nyang'homango????
Kuna msiba?
oukey... hebu ntumie kama kilo 3 hivi nkafunge dstv fasta yan
Mimi fundi vitanda, tv,radio, sofa, dish, vin'gamuzi, majiko, masufuria, ac, wiring, mabomba, mageti, gari, pikipiki, baiskeli, simu, n.k. Kama kuna atakayehtaj huduma anitafute kwa Number hii 0713800880. Email:vundiwavyote@hotmail.com.. Tovuti:www.tunatengenezachochote.co.tz.
daddy umeniiga!!!
Hebu uliza mwaka mzima sh.ngapi kulipia
nilikua namjibu ki-sweet daughter...naona umepata paedeshee wa kukuwekea DSTV
umeona eeehhh... lakini iwe siri yako daddy mkweo asijue si ananitia mbahili!!!!
siye waarab wa Pemba...ila ukinunuliwa tu hiyo DSTV remote nitakua nashika mimi
liking'amuz langu la startimes linascrach km cd mbovu.sijui nifanye nn?
liking'amuz langu la startimes linascrach km cd mbovu.sijui nifanye nn?
Habar ya mchana wadau....
Mwenzenu mie miaka yote nilikuwa natumua Chadema kuangalizia TV station. Sasa ndo washatangaza kuwa from 31st December,2012 hatutoeza kupata station yeyote. So nataka kununua king'amuzi je ninunue kipi kati ya vifuatavyo:-
- Ting
- Startime
- Zuku na vinginevyo
NB. unaponishauri unanimbia faida na hasara zake!!!!
Kuna na DSTV plz!Habar ya mchana wadau....
Mwenzenu mie miaka yote nilikuwa natumua Chadema kuangalizia TV station. Sasa ndo washatangaza kuwa from 31st December,2012 hatutoeza kupata station yeyote. So nataka kununua king'amuzi je ninunue kipi kati ya vifuatavyo:-
- Ting
- Startime
- Zuku na vinginevyo
NB. unaponishauri unanimbia faida na hasara zake!!!!
Kuna na DSTV plz!