Ni kwa tukio lililotokea Moshi la kumchomesha mahindi mpaka yakaungua Don Mangi, papaa ya Kichagga. . .la presidaa of Moshi, leo atakua viwanja vya mashujaa akichoma ndafu ya ngombe. . .wananchi wote wa mji wa Moshi na viunga vyake mnakaribishwa. . .Hakuna kiingilio but kwenye hiyo sherehe King'asti na Sweetlady wamepigwa ban mpaka kifungo chao kitapoisha.
Source: Don Mangi's PR.

Dah. . .na nyie mliniboa. . .au ni weke siri zote hapa. . .shopping nigharamikie mimi bado mnichomeshe mahindi mtoto wa watu. . .No one keepeth the Don waiting. Mmevunja code number 63 ya U-Don kwenye The Don Book of Codes and Law. . .codex um donnii mangiferium. . .
vipi kubeba imo?. nataka nichukue na mfuko wa shangazi kabisa. Mia.Njoo na panga kabisa mkuu. Mia. . .