Kingee cha Gigy money

Kingee cha Gigy money

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Aiseh mpaka sijaamini, nimeona video insta gigy akimwaga kingee, yan nikashangaa utadhan sio yeye , gigy anajifanyaga chizi but kichwani kidogo zimo, japokua anachanganya tense but she is so articulate , akijitahidi atafika mbali, hongera zake
 
Kuongea kiingereza ndio kichwani zimo?
 
Wanaume wa Dar utawajua tu. Sasa hii ni habari mpaka uilete huku.!!??? Umbea utakuja kuwaua kichwa maji ww.
Lakini kila warumi akiweka mada lazima ukimbie mbio mbio kuja kusoma.

Wabongo kwa UNAFIKI nawapa 2000%
 
Back
Top Bottom