Kingereza ni changamoto kwa JF members, nyuzi za English hazisogelewi

Kingereza ni changamoto kwa JF members, nyuzi za English hazisogelewi

Swala sio intelligence wala nini suala ni kwamba wengi ngeli inawapitia kushoto.
Kuna faida gani ya kuongea kingereza lakini kichwani ujinga mtupu..

Kuongea English sio kipimo cha uwezo wa mtu ktk kupambanua mambo.

English ni lugha kama lugha zingine zozote..
 
Kutumia Kiingereza kwenye nchi ambayo majority wanaongea Kiswahili inaonesha uwezo wako mdogo wa kupambanua mambo.
mwana sema tu hakipandi na uwezo wao ndio ulipoishia. watu wakipata pesa wanatambia masikini sembuse hiyo
 
Back
Top Bottom