mwandende JF-Expert Member Joined Feb 16, 2017 Posts 11,005 Reaction score 20,805 Mar 1, 2021 #141 Babumawe said: Swala sio intelligence wala nini suala ni kwamba wengi ngeli inawapitia kushoto. Click to expand... Kuna faida gani ya kuongea kingereza lakini kichwani ujinga mtupu.. Kuongea English sio kipimo cha uwezo wa mtu ktk kupambanua mambo. English ni lugha kama lugha zingine zozote..
Babumawe said: Swala sio intelligence wala nini suala ni kwamba wengi ngeli inawapitia kushoto. Click to expand... Kuna faida gani ya kuongea kingereza lakini kichwani ujinga mtupu.. Kuongea English sio kipimo cha uwezo wa mtu ktk kupambanua mambo. English ni lugha kama lugha zingine zozote..
Dreadnought JF-Expert Member Joined Mar 25, 2013 Posts 2,876 Reaction score 3,942 Mar 4, 2021 #143 Ruge Opinion said: Utakosa mengi. Kiingereza ndiyo lugha ya maarifa. Kama inakupiga chenga mengi yatakupiga chenga. Click to expand... Mfano wa hayo yatakayonipita?
Ruge Opinion said: Utakosa mengi. Kiingereza ndiyo lugha ya maarifa. Kama inakupiga chenga mengi yatakupiga chenga. Click to expand... Mfano wa hayo yatakayonipita?
Ng'wanamangilingili JF-Expert Member Joined Aug 22, 2015 Posts 5,778 Reaction score 4,859 Mar 4, 2021 #144 kayaman said: Kutumia Kiingereza kwenye nchi ambayo majority wanaongea Kiswahili inaonesha uwezo wako mdogo wa kupambanua mambo. Click to expand... mwana sema tu hakipandi na uwezo wao ndio ulipoishia. watu wakipata pesa wanatambia masikini sembuse hiyo
kayaman said: Kutumia Kiingereza kwenye nchi ambayo majority wanaongea Kiswahili inaonesha uwezo wako mdogo wa kupambanua mambo. Click to expand... mwana sema tu hakipandi na uwezo wao ndio ulipoishia. watu wakipata pesa wanatambia masikini sembuse hiyo