NDAGLA JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 2,490 Reaction score 1,353 Jan 13, 2014 #21 Mzungu akikosea matamshi ya kiswahili ni swagger,lkn mswahili akichapia ng'eng'e anaonekana kilaza! Kazi kwelikweli.
Mzungu akikosea matamshi ya kiswahili ni swagger,lkn mswahili akichapia ng'eng'e anaonekana kilaza! Kazi kwelikweli.
fakenology JF-Expert Member Joined May 3, 2012 Posts 999 Reaction score 672 Jan 13, 2014 #22 hii kitu ilikuja na melikebu. ukiifahamu vizur, mtaan utaheshimika
kitine Member Joined Dec 5, 2013 Posts 41 Reaction score 5 Jan 13, 2014 #24 miss chagga said: Kiingeresa cheseya hii ni nouma Click to expand... Anashindwa kutema kikristo
S ssalaf JF-Expert Member Joined Dec 12, 2013 Posts 212 Reaction score 51 Jan 13, 2014 #25 sio kila mzungu anajua kingeleza
Bingwaman JF-Expert Member Joined Oct 22, 2010 Posts 549 Reaction score 288 Jan 14, 2014 #26 Kiingereza kweli noma. Matrafiki wakiona gari linaendeshwa na mzungu wanalikimbia hata kama lina makosa ya wazi.
Kiingereza kweli noma. Matrafiki wakiona gari linaendeshwa na mzungu wanalikimbia hata kama lina makosa ya wazi.
A ahmed fundi New Member Joined Jan 10, 2014 Posts 1 Reaction score 0 Jan 14, 2014 #27 Mpaka nikilewa au nikivuta
P Percival JF-Expert Member Joined Mar 23, 2010 Posts 3,676 Reaction score 2,621 Jan 14, 2014 #28 Hujui wazungu wanatutawala mpaka kesho ? hizo ni athari za ukoloni zilizo baki kwene genes zetu. Cha muhimu kila banaadamu anastahili kusheshimiwa na unaona mzungu kaweka heshima yake alipoambiwa siti ni ya mtu mwengine akasimama bila ubishi.
Hujui wazungu wanatutawala mpaka kesho ? hizo ni athari za ukoloni zilizo baki kwene genes zetu. Cha muhimu kila banaadamu anastahili kusheshimiwa na unaona mzungu kaweka heshima yake alipoambiwa siti ni ya mtu mwengine akasimama bila ubishi.
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,811 Reaction score 49,053 Jan 15, 2014 #29 kitine said: Anashindwa kutema kikristo Click to expand... ateme kilugha