Kingereza ni mtihani jamani

Kingereza ni mtihani jamani

Mzungu akikosea matamshi ya kiswahili ni swagger,lkn mswahili akichapia ng'eng'e anaonekana kilaza! Kazi kwelikweli.
 
hii kitu ilikuja na melikebu.
ukiifahamu vizur, mtaan utaheshimika
 
dala 18 .jpgdaladala 3.jpg
 
Kiingereza kweli noma. Matrafiki wakiona gari linaendeshwa na mzungu wanalikimbia hata kama lina makosa ya wazi.
 
Hujui wazungu wanatutawala mpaka kesho ? hizo ni athari za ukoloni zilizo baki kwene genes zetu. Cha muhimu kila banaadamu anastahili kusheshimiwa na unaona mzungu kaweka heshima yake alipoambiwa siti ni ya mtu mwengine akasimama bila ubishi.
 
Back
Top Bottom