Kingo cartoon special thread

Ni kawaida kabisa hii kutokea barabarani.

Au kadada kaharibikiwe na gari, wanaojitolea kutengeneza au kusaidia au kusukuma ni wengi mno. Hadi inabidi kuwachagua kwa kura.
 
Duu hii inaonyesha jinsi gani ambavyo mama / Dada zetu walivyo na "nguvu", yaani jamaa kasahau kabisa kama gari yake imegongwa anawaza kutongoza
 
hajatawadha, halafu alikuwa chakula chenye madini ya chuma kwa wingi, ndio maana hiyo metal detector ina detect kuwa chuma huko nyuma

Au alitawadha na maji ya DAWASCO, maana yale kuna wakati huwa yanatoka na vitu vyenye ncha kali na vipande vipande vya chuma.
 
snochet umenichekesha sana, kutoga hadi matakoni? sasa katoga kwenye mipira au bamia
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…