Kingo cartoon special thread

Kingo cartoon special thread

snochet umenichekesha sana, kutoga hadi matakoni? sasa katoga kwenye mipira au bamia
tembe ujionee,kwa wale wa Arusha,kuna sehemu karibu na ppf wanapaita La-fiesta(lazima pretta anapajua),kuna saloon kibao,kuna bingwa wa tatoo na kutoga sehemu "special".......nina rafiki alitoboa kitovu,na akaniambia kuna more "spots" za kutoboa zinazoonekana na wachache.....wengine ndo style yao ya kuweka lock,,,ili wasifanyiwe mchezo mchafu
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: awp
nikimuonaga huyu namkumbuka chakubanga
kingo1.jpg
kingo2.jpg
kingo3.jpg
 
Huko hoi ndio wapi anapokuacha?? Hujui njia ya kurudi nyumbani kwani mkuu??
 
Back
Top Bottom