snochet
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 1,433
- 1,176
tembe ujionee,kwa wale wa Arusha,kuna sehemu karibu na ppf wanapaita La-fiesta(lazima pretta anapajua),kuna saloon kibao,kuna bingwa wa tatoo na kutoga sehemu "special".......nina rafiki alitoboa kitovu,na akaniambia kuna more "spots" za kutoboa zinazoonekana na wachache.....wengine ndo style yao ya kuweka lock,,,ili wasifanyiwe mchezo mchafusnochet umenichekesha sana, kutoga hadi matakoni? sasa katoga kwenye mipira au bamia
Last edited by a moderator: