Chizi Fureshi
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 1,718
- 461
Wote tunajua kuwa katika BMK zoezi linaloendelea ni la kila mjumbe kuapa mbele ya Mwenyekiti. Hamu yangu ni kumsikia Kingunge Ngombare Mwiru.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
![]()
Huyu huwa hashiki kitabu chochote cha kunishangaza mwishoni huwa anasema ee Mungu nisaidie sijui ana Mungu wake wa mungu?
Kingunge ni MKATOLIKI na ametoa sehemu ya kiwanja chake kujengwa kanisa..anaitwa HERMAN! hapo atakua anafanya siasa tu!
Atasema, "Ee mungu wa Kinjekitile Ng'wale nisaidie!" Kumbuka huyu ni muwakilishi wa waganga wakienyeji na waabudu mizimu pale Bungeni!Kingunge ni MKATOLIKI na ametoa sehemu ya kiwanja chake kujengwa kanisa..anaitwa HERMAN! hapo atakua anafanya siasa tu!