Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Wakulima AAFP, Kunje Ngombale Mwiru akiwa katika muendelezo wake wa kampeni katika Mkoa wa Morogoro kata ya Mvuha ameongea na wananchi wa kata hiyo,
Ametaja maadhi ya vipaumbele vyake moja ni kwamba serikali yake itakuwa ni serikali ya mchaka mchaka mbaka mwisho wa madaraka yake,
Aidha Mgombea huyo amewaambia Wananchi kuwa ataunda Baraza la Mawaziri ambalo halitalala litatatua matatizo kwa siku 100 za mwanzoni.