Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hivi huyu jamaa ile kesi ya kumuua yule kijana wa kazi wa nyumbani kwao kwa sababu tu alikuwa anakaamua maziwa yakamwagika kwa bahati mbaya. Yeye akamshona risasi iliishiaga wapi?Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Wakulima AAFP, Kunje Ngombale Mwiru akiwa katika muendelezo wake wa kampeni katika Mkoa wa Morogoro kata ya Mvuha ameongea na wananchi wa kata hiyo,
Ametaja maadhi ya vipaumbele vyake moja ni kwamba serikali yake itakuwa ni serikali ya mchaka mchaka mbaka mwisho wa madaraka yake,
Aidha Mgombea huyo amewaambia Wananchi kuwa ataunda Baraza la Mawaziri ambalo halitalala litatatua matatizo kwa siku 100 za mwanzoni.
Ndoa za mitala zina mambo mengi, mzee akisha zeeka na ana wake wadogo kuna vitoto vya kusingiziwa humo humo unaletewa tu unaamua kuvilea na vina mbwembwe balaa. Ccm ndo mzee mwenyewe hivo vitoto vyake havina hata namba siyo F wala G.Vichekesho kwa hiyo mawaziri wakiwa mchakamcha chinja adimselema hadija
wananchi ndio watapata maendeeleo
Hiki ni CCM namba H au F nikumbusheni kidogo
mana CCM ina vitoto vyake kibao na vyote imewapq V8 watanue kwenye uchaguzi
Siyo kunje ni kinje (kitile)Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Wakulima AAFP, Kunje Ngombale Mwiru akiwa katika muendelezo wake wa kampeni katika Mkoa wa Morogoro kata ya Mvuha ameongea na wananchi wa kata hiyo,
Ametaja maadhi ya vipaumbele vyake moja ni kwamba serikali yake itakuwa ni serikali ya mchaka mchaka mbaka mwisho wa madaraka yake,
Aidha Mgombea huyo amewaambia Wananchi kuwa ataunda Baraza la Mawaziri ambalo halitalala litatatua matatizo kwa siku 100 za mwanzoni.
Huyu hana analolisimamia ni agent anatumika tu. Amehama vyama karibu vyote huyu. Amewahi kugombea usoeaker huyuMgombea wa Urais kupitia Chama cha Wakulima AAFP Kunje Ngombale Mwiru akiwa katika muendelezo wake wa kampeni katika Mkoa wa Morogoro kata ya Mvuha ameongea na wananchi wa kata hiyo,
Ametaja maadhi ya vipaumbele vyake moja ni kwamba serikali yake itakuwa ni serikali ya mchaka mchaka mbaka mwisho wa madaraka yake,
Aidha Mgombea huyo amewaambia Wananchi kuwa ataunda Baraza la Mawaziri ambalo halitalala litatatua matatizo kwa siku 100 za mwanzoni.
Yaani ni Kinje Kitile mtoto wa Mzee Kingunge?Siyo kunje ni kinje (kitile)
NdiyoYaani ni Kinje Kitile mtoto wa Mzee Kingunge?