Kingwedu "nimejipanga vya kutosha kuingia bungeni 2015"

Kingwedu "nimejipanga vya kutosha kuingia bungeni 2015"

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Mwigizaji wa Comedy (Futuhi) Anajulikana kwa Jina la kingwendu Amweka wazi Nia yake ya kuwania Ubunge katika kinyanganyiro cha 2015, Amesema kwa sasa Amejipanga vya kutosha kuingia mjengoni , Kuhusu chama atakacho gombea kwa sasa ni siri yake ila atakitaja mambo yakikaribia....
UNAONAJE ATAWEZA AU NDIO ATAPELEKA BUNGENI VICHEKESHO?

naona 2015 kutakuwa na wasanii wengi bungeni wananchi wengi hawana maharifa watawachagua tu sababu ya umaharufu wao.

tutegemee maajabu 2015,kazi wana JF.
mimi pia nampango wa kuja kugombea ubunge
 
Nadhani utakuwa unazungumzia ile movie yake ya vichekesho aliyoigiza kuwa anania ya kugombea udiwani ili ale pesa za mdada mdhamini.
Anafanya part 2??
 
Ukitaka kufanikiwa kisiasa kwenye hii nchi yangu jaribu kudeal na kundi la wapumbavu kwasababu ndio wengi na watakuunga mkono bila kuhitaji uwezo wako wa akili.
 
Afadhali Kingwendu awe mbunge kuliko wasomi wa vyeti hawa. Waoga zaidi ya kunguru na hawana hoja, kazi kukipendekeza na kuunga mkono hoja hata kama hawajui hoja gani.
 
Ntampa kura yangu, huu ushakua utani sasa, imagine bunge la kingwendu, afande sele, diva, mrisho mpoto,
 
Yani watu kumwona sugu ishakuwa nongwa bongo kwa kuiga wanatisha
 
Kwan hao tuliowapeleka zaidi ya miaka50 wametufanyia zaid ya kugonga meza
 
Ntampa kura yangu, huu ushakua utani sasa, imagine bunge la kingwendu, afande sele, diva, mrisho mpoto,

umemsahau JB na kuna kijana pia wa bongo movie nimemsahau jina naye alikuwa mbeya aliwai soma India
 
Jb anafuga afya ubunge hawezi kijana hata mazoezi hafanyi tumbo kubwa cjui hajielewi ninu
 
Afadhali Kingwendu awe mbunge kuliko wasomi wa vyeti hawa. Waoga zaidi ya kunguru na hawana hoja, kazi kukipendekeza na kuunga mkono hoja hata kama hawajui hoja gani.

Bro usiwanange wasomi kwa matatizo ya watu binafsi. Dunia ya leo elimu muhimu sana. Kama unalidhika kuongozwa na watu jamii ya kingwendu basi nina wasiwasi na kichwa chako.

Usitumie kichwa kuoteshea nywele tu.
 
Kwan hao tuliowapeleka zaidi ya miaka50 wametufanyia zaid ya kugonga meza

We una matatizo kichwani. Unasema hujaona lolote miaka 50. Kwahiyo we unaona tz ni ileile ya 61? Acha kumkufuru mungu wako.

Ni bora ungesema wamefanya machache kulinganisha na muda waliokaa madarakani, ningekuelewa. Lakin sio kusema hawajafanya kitu kabisa!!!!
 
Back
Top Bottom