Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Mwigizaji wa Comedy (Futuhi) Anajulikana kwa Jina la kingwendu Amweka wazi Nia yake ya kuwania Ubunge katika kinyanganyiro cha 2015, Amesema kwa sasa Amejipanga vya kutosha kuingia mjengoni , Kuhusu chama atakacho gombea kwa sasa ni siri yake ila atakitaja mambo yakikaribia....
UNAONAJE ATAWEZA AU NDIO ATAPELEKA BUNGENI VICHEKESHO?
naona 2015 kutakuwa na wasanii wengi bungeni wananchi wengi hawana maharifa watawachagua tu sababu ya umaharufu wao.
tutegemee maajabu 2015,kazi wana JF.
mimi pia nampango wa kuja kugombea ubunge