Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Ntampa kura yangu, huu ushakua utani sasa, imagine bunge la kingwendu, afande sele, diva, mrisho mpoto,
umemsahau JB na kuna kijana pia wa bongo movie nimemsahau jina naye alikuwa mbeya aliwai soma India
Ukitaka kufanikiwa kisiasa kwenye hii nchi yangu jaribu kudeal na kundi la wapumbavu kwasababu ndio wengi na watakuunga mkono bila kuhitaji uwezo wako wa akili.
itakuwa chikoka
Afadhali Kingwendu awe mbunge kuliko wasomi wa vyeti hawa. Waoga zaidi ya kunguru na hawana hoja, kazi kukipendekeza na kuunga mkono hoja hata kama hawajui hoja gani.
Kwan hao tuliowapeleka zaidi ya miaka50 wametufanyia zaid ya kugonga meza