Kingwendu & january makamba..coming soon

maatope

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Posts
1,422
Reaction score
957
Jana nikiwa katika pitapita zangu mitaa ya uswazi kule tandale anapotokea msanii bora kabisa kuwahi kutokea Africa na mwenye uwezo mkubwa wa kuimba na kupiga vyombo mr dangote nilkutana na story moja ya motomoto saaaana.
Ni kwamba yule kijana mnyoa kipara ambaye inasemekana ndiye atakuwa Prezidaa wa tano wa ka nchi cha TZ atamteua Kingwendu ngwendulile kuwa waziri wa wizara mpya ya burudani ambayo itaundwa 2015
kwa wale ambao hamjui ni kwamba Ngwendulile atagombea ubunge kupitia CCm na vigogo kibao wako nyuma yake
okay then, iam out for now
 

Tnx kwa taarifa maatope..
Naskia naskia na Maneke Sanga yeye ndiye atapewa wizara ya mahusiano jinsia na watoto
 
Tnx kwa taarifa maatope..
Naskia naskia na Maneke Sanga yeye ndiye atapewa wizara ya mahusiano jinsia na watoto

sijasikia , ngoja nifatilie aisee, ama kwa hakika ni habari njema na inayoleta matumaini ya future maridadi ya nchi yetu
 

Uongo huoo...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…