Kingwendu: Nilikurupuka kugombea ubunge, nilibakiwa na madeni makubwa

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Msanii wa vichekesho, Kingwendu amesema alikurupuka kugombea ubunge na kubakiwa na madeni mengi hali iliyomsababishia kukaa kimya ili kushughulikia madeni hayo, alitakiwa awe na mdhamini.

Pia msanii huyo amesema alienda Ujerumani sio kwa sababu ya hela alizohongwa ili auze ubunge bali ilikuwa mpango wa muda mrefu kabla ya kugombea ubunge
 
unakopa kwa ajili ya kugombea kuwatumikia wananchi,,maajabu hayaishi nchi hii
 
Watu wanachekesha sie tulimwona anakurupuka tangu alipotangaza nia yeye mhusika ndo kagundua mwezi huu!mwaka huu! kweli siasa mchezo mchafu ni kama upofu vile.
 
Eti alienda ujerumani kwani safari iliandaliwa muda mrefu kabla ya kampeni za ubunge, porooojo, porojo! Aseme tu ukweli kuwa aliwekwa kumtibulia mbunge wa sasa, ili kama angeshinda (Kingwendu), nafasi ya uwaziri kwa mkoa wao ingeenda kwa mtu fulani, kwani mtu huyo angekuwa ndiye pekee mwenye elimu ya kueleweka.
 
Mkuu,funguka zaidi!
 
Pamoja na kuwa ni Muhasibu hakuweza kujua kama kutakuwa na gharama za kujiendesha kwenye kampeni kha !!!!!!!
 
Msanii wa vichekesho, Kingwendu amesema alikurupuka kugombea ubunge na kubakiwa na madeni mengi hali iliyomsababishia kukaa kimya ili kushughulikia madeni hayo, alitakiwa awe na mdhamini
pia msanii huyo amesema alienda ujerumani sio kwa sababu ya hela alizohongwa ili auze ubunge bali ilikuwa mpango wa muda mrefu kabla ya kugombea ubunge

Hizo pesa alizoendea ujerumani baada ya uchaguzi kwann asingelipia madeni ? Akili za uigizaji hizi jambaz kuvua viatu awapo kazini
 
Nadhani ni kama ukitumia nauli ya mia tano kwenda kuchukua elfu 10 sehemu.....may b he got more that what he spent
 
sasa kwann alalamike Madeni? Acha assumption mkuu Re Professor Alipelekwa Rwana na bado akarudi akawekwa benchi na mpaka kuitaka nafasi aliyoikataa, chezeiyaa fisiem wewe
 
Eti alienda ujerumani kwani safari iliandaliwa muda mrefu kabla ya kampeni za ubunge, porooojo, porojo! Aseme tu ukweli kuwa aliwekwa kumtibulia mbunge wa sasa, ili kama angeshinda (Kingwendu), nafasi ya uwaziri kwa mkoa wao ingeenda kwa mtu fulani, kwani mtu huyo angekuwa ndiye pekee mwenye elimu ya kueleweka.
Huwajui wagombea wa mkoa wa Pwani.. Unamjua mbunge wa Rufiji, mchengerwa ana Elimu gani
 
Eti alienda ujerumani kwani safari iliandaliwa muda mrefu kabla ya kampeni za ubunge, porooojo, porojo! Aseme tu ukweli kuwa aliwekwa kumtibulia mbunge wa sasa, ili kama angeshinda (Kingwendu), nafasi ya uwaziri kwa mkoa wao ingeenda kwa mtu fulani, kwani mtu huyo angekuwa ndiye pekee mwenye elimu ya kueleweka.
Mmh
 
Back
Top Bottom