Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Mkuu,funguka zaidi!Eti alienda ujerumani kwani safari iliandaliwa muda mrefu kabla ya kampeni za ubunge, porooojo, porojo! Aseme tu ukweli kuwa aliwekwa kumtibulia mbunge wa sasa, ili kama angeshinda (Kingwendu), nafasi ya uwaziri kwa mkoa wao ingeenda kwa mtu fulani, kwani mtu huyo angekuwa ndiye pekee mwenye elimu ya kueleweka.
Hizo pesa alizoendea ujerumani baada ya uchaguzi kwann asingelipia madeni ? Akili za uigizaji hizi jambaz kuvua viatu awapo kaziniMsanii wa vichekesho, Kingwendu amesema alikurupuka kugombea ubunge na kubakiwa na madeni mengi hali iliyomsababishia kukaa kimya ili kushughulikia madeni hayo, alitakiwa awe na mdhamini
pia msanii huyo amesema alienda ujerumani sio kwa sababu ya hela alizohongwa ili auze ubunge bali ilikuwa mpango wa muda mrefu kabla ya kugombea ubunge
Nadhani ni kama ukitumia nauli ya mia tano kwenda kuchukua elfu 10 sehemu.....may b he got more that what he spentHizo pesa alizoendea ujerumani baada ya uchaguzi kwann asingelipia madeni ? Akili za uigizaji hizi jambaz kuvua viatu awapo kazini
sasa kwann alalamike Madeni? Acha assumption mkuu Re Professor Alipelekwa Rwana na bado akarudi akawekwa benchi na mpaka kuitaka nafasi aliyoikataa, chezeiyaa fisiem weweNadhani ni kama ukitumia nauli ya mia tano kwenda kuchukua elfu 10 sehemu.....may b he got more that what he spent
Huwajui wagombea wa mkoa wa Pwani.. Unamjua mbunge wa Rufiji, mchengerwa ana Elimu ganiEti alienda ujerumani kwani safari iliandaliwa muda mrefu kabla ya kampeni za ubunge, porooojo, porojo! Aseme tu ukweli kuwa aliwekwa kumtibulia mbunge wa sasa, ili kama angeshinda (Kingwendu), nafasi ya uwaziri kwa mkoa wao ingeenda kwa mtu fulani, kwani mtu huyo angekuwa ndiye pekee mwenye elimu ya kueleweka.
Hivi ni waziri wa wizara gani vile?Huwajui wagombea wa mkoa wa Pwani.. Unamjua mbunge wa Rufiji, mchengerwa ana Elimu gani
Mchengerwa sio Waziri, ila ni Mwenyekiti wa kamati ndogo ya sheria, Ila mbunge wa kisarawe ni Jaffu ni Naibu Waziri, TAMISEMIHivi ni waziri wa wizara gani vile?
MmhEti alienda ujerumani kwani safari iliandaliwa muda mrefu kabla ya kampeni za ubunge, porooojo, porojo! Aseme tu ukweli kuwa aliwekwa kumtibulia mbunge wa sasa, ili kama angeshinda (Kingwendu), nafasi ya uwaziri kwa mkoa wao ingeenda kwa mtu fulani, kwani mtu huyo angekuwa ndiye pekee mwenye elimu ya kueleweka.