Kingwendu nusura aukwae Ubunge 2015

Kingwendu nusura aukwae Ubunge 2015

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Mwaka 2015 pasipo namna-namna Kingwendu angewakilisha wananchi wa KISARAWE kupitia CUF, mtifuano ulikua mkali haswa. NB: Tofaut na Babutale (aliye pita bila Kupingwa) huyu Kingwendu alipambana mpaka mwisho.

2951340_AAP5rQ.jpg
 
Kingwendu alimgaragaza Yule dogo CCM wakapindua mezaa[emoji3][emoji3]sera yake ilikua ni tajiri hajui shida ya maskini Kwa hiyo wachague maskini mwenzao wanakisarawe walimwelewa Sana [emoji23][emoji23]
Ha ha ha
 
Back
Top Bottom