Kingwendu nusura aukwae Ubunge 2015

Kwenye moja ya mahojiano anadai alishawahi kufanya Kazi TBL
Namfahamu vizuri. Aliyefanya kazi TBL ni kaka yake Muddy Sume alikuwa na mguu wa kilema. Yeye Kingwendu hakuwa mwajiriwa wa TBL bali alikuwa ni mmoja wa vijana wanaoshinda karibu na Magomeni Depot, kwa hiyo Lori la bia likifika kama hakuna wafanyakazi wa TBL wa kuteremsha basi wanaitwa kama vibarua na wanalipwa immediately. Kingwendu hajasoma shule kabisa, asingeweza kuajiriwa TBL
 
Kumbe ngumbaru mwenzetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…