Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Hakuna hajaTulitaraji hawa wangekuwa tofauti na ccm; kama wanafanana kuna haja gani ya kuitoa ccm?!
Angekuwa Mbunge kama Babu Tale tatizo alitumia njia isiyo sahihi.Mwaka 2015 pasipo namna-namna Kingwendu angewakilisha wananchi wa KISARAWE kupitia CUF, mtifuano ulikua mkali haswa. NB: Tofaut na Babutale (aliye pita bila Kupingwa) huyu Kingwendu alipambana mpaka mwisho.
View attachment 2488610View attachment 2488618
Alifanikiwa wakapindua matokeo kingwendu alishinda asubuhi na mapema[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanakisarawe walimwelewa yeye aliwasemesha kizaramo akawaambia mwenye shibe hamjui mwenye njaa wachague mwenye njaa mwenzako[emoji23][emoji23][emoji23]Kweli alikaza sema hakufanikiwa
Hahah! Mantashaka [emoji1787]Watanzania wanapenda sana mizaha [emoji38][emoji38][emoji38]
PhD holder?Dr Kingwendu
πMwaka 2015 pasipo namna-namna Kingwendu angewakilisha wananchi wa KISARAWE kupitia CUF, mtifuano ulikua mkali haswa. NB: Tofaut na Babutale (aliye pita bila Kupingwa) huyu Kingwendu alipambana mpaka mwisho.
View attachment 2488610View attachment 2488618
πKingwendu ni bora kuliko Nape
tena hawapendi kujichosha kabisaa!Watanzania wanapenda sana mizaha πππ