Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Nilichojifunza katika tukio hili ni kwamba katika mapambano halisi ya kurushiana risasi kati ya polisi na mhalifu, polisi ndio wanaouawa kwa wingi.
Imagine huyo ni mhalifu mmoja na polisi wengi, lakini wamekufa polisi watatu. Na tena wala huyo mhalifu hakufanya jitihada zozote za kutoroka, nina wasiwasi angekusudia kutoroka pengine angeweza. Labda na mwenyewe alitaka kujifia tu, ona alivyojileta kama easy target katikati ya shooters wengi.

Huwa inatokeaje siku nyingine tunapopewa taarifa na polisi kuwa wameua majambazi matano katika mapambano pasipo hata polisi mmoja kujehuruhiwa?

Nimeona kwenye hiyo clip polisi wakimiminia maiti risasi nyingi za makalioni. Nikashangaa tu.
 
Zile risasi za makalioni Ni woga mkuu..
 
Zile risasi za makalioni Ni woga mkuu..
Yani polisi wetu ni wanyonge sana wanapokutana na changamoto halisi zinazohitaji umahiri wa medani.
Yale matukio ya Sitakishari, Mkuranga, Kibiti, na hata hili la leo yamethibitisha.

Operesheni maalum ilipoenda Mkuranga, Kibiti na Rufiji haikuwahi kukutana na mapambano hata mara moja. Walipita nyumba kwa nyumba kukusanya watuhumiwa wakiwa wamelala, hawana silaha.

Hatua za haraka zinatakiwa kuondoa huu udhaifu.
 
We kweli hamnazo,, hivi picha ya yesu we unaijua wewe?
 
Nyie magaidi hamna pa kujificha lzm mrudi kwenu mkiwa mizoga
 
Huyu jamaa siyo mjinga, kuna ujumbe alikuwa anaufikisha. Vyombo vyetu vya usalama vinabidi kwenda extra miles, wasiishie tu kusema tumemuua.
nimesikitishwa sana kwa askari wetu wasiokuwa na hatia kuuawa kwenye hilo tukio.Lakini why amechagua kuuawa askari tuu?
 
Hizo movies zinawadanganya sana, ni mara ngapi polisi wa Marekani wameua raia kwa risasi tena wakati mwimgine kwa majibizano tu ya mdomoni.

Movie na uhalisia ni vitu viwili tofauti kabisa.

Unadhani hizo movies zinafuatwa (abudiwa) ni bure?!?

Walianza zamani, sasa ni smoothing tu!

Hakuna kiumbe wa dunia hii atatumia cost ya not less than $500 kutengeneza a reality (movie) itakayorudisha angalau nusu yake,: na aikane or aikubali?!? Reality! Reality! Reality!!!
 

Ana julikana na hawa makada

 
Huo ndio ugaidi, sio kupoteza nguvu kutafuta laki 6 ilipotumwa, pambaneni na ugaidi huoooooooo
 
Hii ni mission, kuna watu walikuwa wanajaribu jeshi na sasa wamepata jibu kuwa jeshi letu kuna sehemu halipo sawa.
Na wewe ni lijinga fulani hivi!! Mission gani wakati unambiwa, Dogo alikuwa anaenda kuuza dhahabu, polisi wakataka kumudhulu, happy ndipo kizazaa kilipoanzia!! Dogo akawashambilia polisi na kuchukua bunduki zao!! Kama angekuwa gaidi? Mbona hakulenga ubalozi wa ufaransa!! Mbona hakushambulia raia? Yeye shida yake ilikuwa polis!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…