Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Bado sijafahamu ni vipi huyu mtu anaitwa ni msomali, ivi angeshiriki Olympic na kupata medali ya dhahabu tungelisema ni msomali 🤷‍♂️ .
Sio msomali ni mtanzania, mwenye asili ya somali
 
Bado hili swala haliniingii akilini. Wapo watu wanaomtetea Hamza kwa kusema alionewa. 1. What justifies murder kwa kuwa ulionewa? Haya according to the rumors kaonewa na askari wawili. Who will pay for the blood of the other two ambao hawakuhusika. Wengi mna rely kwenye hearsay tu kwamba alidhulumiwa dhahabu sijui nini. Sasa alisema saa ngapi kwamba alidhulumiwa? It means kuna mtu alimwambia either ndugu au rafiki kuwa amedhulumiwa na lazima adhma yake aliionesha wakati anasimulia. Kwa sisi ambao tunasikiliza story za mashuhuda wa siku hiyo hakuna mahala alipotaja madini wala kudhulumiwa. Something is not right. Tusi justify mauaji na sababu za kijinga. The kid amekosea apumzike panapo stahili. Done
 
Uonevu na mauaji ya ovyo yanayofanywa na watu wanaohisiwa kuwa vyombo vya ulinzi ndio yanapelekea matukio kama haya ya watu kujitoa muhanga.
 
Pumzika kwa amani kamanda, hakika ulikua mfano wa kuigwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…