Kinondoni hasa Mwananyamala hapafai kabisa kimaadili kwa sasa

Mkuu nimefanya research 2021 na wizara ya afya
Huwezi amini mashoga wengi hapa tz ni wenye asili ya Kilimanjaro
Watu wanaongelea ushoga bila kujua wanachokiongelea, hii tafiti ni kweli hata mimi nimeifanya, haijalishi huyo mtu kazaliwa au kakulia sehemu gani, ila asili ni kaskazini,
Hapo ndio tunapokuja kuamini tafiti za wazungu kwamba ushoga ni genetics za kuzaliwa.
 
Asante mkuu maana hili jambo huwa wanapinga sana
 
Yaani uanzishe uzi wa kuitaja Mwananyamala na Kinondoni kwa kushuhudia kikundi cha vijana wanne tu!!!

Wewe jamaa unapenda sana mada za ushoga sababu na wewe unashiriki kama unabisha sema SUUUU nije na ushahidi hapa
😂😂😂😂😂
 
Watu wanaongelea ushoga bila kujua wanachokiongelea, hii tafiti ni kweli hata mimi nimeifanya, haijalishi huyo mtu kazaliwa au kakulia sehemu gani, ila asili ni kaskazini,
Hapo ndio tunapokuja kuamini tafiti za wazungu kwamba ushoga ni genetics za kuzaliwa.
Ushoga ni Genetics za kuzaliwa? How?

Nyie mnachanganya na hormonal imbalance, na haifanyi mtu awe shoga, ushoga uko ktk fikra na hisia, ila sio hizo Genetics.

Kwenye ukweli lazima niseme, mie sio mnafiki.
 
Sinza hapafai kabisa...
wamepangisha na kupangishwa majumba kabisa mambo yao ni hayo tu...
Wake kwa waume...

Nenda Tabata yake Yale, manzese, yale yale, msasani yale Yale... Osysterbay yale yale...
Kinondoni ndiyo pameoza... Ubungo yale yale... Dar haifai...

Cc: Mahondaw
Yesu na mariaaa!!

Hebu fanya uhamie huku Nyamagubwe walai.
 
Hivi kuna wauza biashara mahali pasipo na wanunuzi?
 
Back
Top Bottom